Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula kuongea na Vyombo vya Habari vya ndani na nje ya nchi

Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula kuongea na Vyombo vya Habari vya ndani na nje ya nchi

Usituingize kwenye mbumbumbu wako. Wenzako hatuamini kwenye kuropoka na kupayuka tumwamini kwenye haki na ukweli. Baki na mazuzu wenzio mnaodanganywa kwamba mna raisi mzalendo wakati aliwauzia nyumba za umma pale dodoma kwa mil6 lila moja. Yaani ghorofa liliuzwa ml 6 tena kwa mkopo. Hakuishia hapo akauzia vimada wake kina kajala wa kebys nyumba za umma tena hakuwa mtumishi.
Mbona waziri mkuu alikuwa ndio boss wake bwana Sumaye mlitaka kumpeleka ikulu akauze vingine tena?

Hivi huko chadema wote mna akili hizi hizi?
 
Hii ndio taarifa aliyoisambaza kwa wahusika wote wa ndani na nje ya nchi , na kwamba Mkutano huo utafanyika nyumbani kwake maeneo ya Kimara suka tarehe 17/2/2021 kuanzia saa 5 Asubuhi .

Kwa wale ambao ni Wageni wameelekezwa kufika hadi Kimara Suka halafu waelekee Golani hadi kituo cha Polisi cha Rift Valley , hapo waulize nyumbani kwa Askofu Mwamakula wataonyeshwa .

Wote Mnakaribishwa .

Angalizo : Usisahau kuvaa Barakoa .
Huyu ni tutu wa bongo
 
Atazingirwa tena
 
Viongozi wote wa Upinzani wangekuwa determined kama huyu “Askofu”, labda by now tungeshaona mwanga kwenye njia ya kupata Katiba Mpya

Sadly wengi huwa wanalialia wimbo wa Katiba mpya kila uchaguzi unapoisha (baada ya kuibiwa kura) au kukaribia. Hakuna mtawala yoyote atakuja kukupa Katiba unayoipenda wewe kwenye silver plate
Upinzani imara na wenye matokeo chanya ni ule wa WATU bila kuunganishwa na vyama bali changamoto zao za pamoja. CCM inaenda kukutana na aina hii upinzani ndani ya chama, Serikali na nje.
 
Hii ndio taarifa aliyoisambaza kwa wahusika wote wa ndani na nje ya nchi , na kwamba Mkutano huo utafanyika nyumbani kwake maeneo ya Kimara suka tarehe 17/2/2021 kuanzia saa 5 Asubuhi .

Kwa wale ambao ni Wageni wameelekezwa kufika hadi Kimara Suka halafu waelekee Golani hadi kituo cha Polisi cha Rift Valley , hapo waulize nyumbani kwa Askofu Mwamakula wataonyeshwa .

Wote Mnakaribishwa .

Angalizo : Usisahau kuvaa Barakoa .

Hahaha
Ili ufike kwa baba Askofu pitia kaunta ya polisi hapo Rift Valley watakuelekeza home kwake
 
Huyu Askofu Mwanaharakati, mbona ni tapeli hivi. Anatumia platform ya kidini kuendeleza siasa za kichama, huyu Askofu ni shabiki mkubwa wa chadema, na platform anayoitumia ni ya umma wote, Dini hazina vyama. Jee kanisa lake ni la wana Chadema tuu?
1660090_FB_IMG_1514731600839.jpg
 
Tumepuuuza huyo!

Hata aende akaongee kule hard talk kama mwenzie mbelgiji hana atakachopata na wala hakuna wa kumsikiliza.

Mmepuuza nyie wenye kiburi cha ajira za wanaume, lakini sisi tunamkubali na tutamsikiliza.
 
Usituingize kwenye mbumbumbu wako. Wenzako hatuamini kwenye kuropoka na kupayuka tumwamini kwenye haki na ukweli. Baki na mazuzu wenzio mnaodanganywa kwamba mna raisi mzalendo wakati aliwauzia nyumba za umma pale dodoma kwa mil6 lila moja. Yaani ghorofa liliuzwa ml 6 tena kwa mkopo. Hakuishia hapo akauzia vimada wake kina kajala wa kebys nyumba za umma tena hakuwa mtumishi.
sasa uliumia nini badala nawewe ukanunue!!!! , swala la wewe kukosa hela lisikupe hasira.
 
Hili Taifa lina vilaza wengi sana.
Mambo ya msingi hawajui,haki zao hawajui,ni waoga,akijitokeza mtu mmoja kuwaligania wanambeza.
Hao ndo Watanzania ndugu wao wanaamini katiba ni siasa na katiba ina mambo ya uchaguzi tu.Hili Taifa kuna kazi kubwa kukombolewa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata mdude mlikuwa mnampa moyo kama hivi alipotiwa nyavuni mkala kona kama sio nyie vile
Kwani wale waliokuwa wanamuunga mkono Mandela alipofungwa na makaburu, wote walitaka wakafungwe naye?
 
CCM inaenda kukutana na aina hii upinzani ndani ya chama, Serikali na nje.
Hapana. CCM na dola yake itakachokutana nacho ni “miguno tu na vilio vya chinichini” kutoka ndani na nje ya chama. During that time when it matters most, hakuna wa kusimama na kuhesabiwa.

Upinzani wa aina hii (kulalamikia Twitter na JF) wala hauna impact kwa CCM na Serikale yake na ndio maana kila uchaguzi mkuu ukifika, huwa wanapora mchana kweupe kwani walishapredict reaction za watu (watu watatusa na kununa kidogo, maandamano yataitishwa, polisi wataingia mtaani, kila mtu atamute kwake huku akicheck maendeleo mitandaoni, tutasahau baada ya wiki mbili na life linasonga as if hakuna kilichotokea)

Hii episode itajirudia tena mwaka 2025, 2030, 2035...
 
Huyu askofu kaamua kwenda jehanamu Mungu alimtuma kuhubiri injili sio kuhubiri katiba mpya au tume huru za uchaguzi
Hii ndio taarifa aliyoisambaza kwa wahusika wote wa ndani na nje ya nchi , na kwamba Mkutano huo utafanyika nyumbani kwake maeneo ya Kimara suka tarehe 17/2/2021 kuanzia saa 5 Asubuhi .

Kwa wale ambao ni Wageni wameelekezwa kufika hadi Kimara Suka halafu waelekee Golani hadi kituo cha Polisi cha Rift Valley , hapo waulize nyumbani kwa Askofu Mwamakula wataonyeshwa .

Wote Mnakaribishwa .

Angalizo : Usisahau kuvaa Barakoa .
 
Hivi huyo ni askofu au mwanasiasa? Atakuwa anatumiwa na mabeberu, siyo bure
Amina baba askofu. Shikilia hapo hapo! Usirudi nyuma baba. Jiwe amejigeuza kuwa Mungu wa watanzania wajinga.

Sasa tunqpowapata watu wenye akili kama wewe Mwamakula napata faraja Sana.

Mungu anakutumiq baba askofu kuyakomboa haya makapi ya binadamu yaliyojazana kwenye haka ka nchi kaitwako Tanzania.
Unaongea nyuma ya keyboard huku mkia umeingiza ndani,umeufyata...............wabongo bhana ni kama ukimfungia jogoo bandania anapiga kelele lakini hawezi kufungua mlango
 
Back
Top Bottom