johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wewe usiye mchuuzi tupe maana ya Haki!Wote ni wachuuzi wa dini, wamekubali kulamba miguu ya Farao, hawa ni chukizo mbele za MUNGU wa mbinguni.
Wote mlikusanyika hapo ni matapeli ya kirohoWewe usiye mchuuzi tupe maana ya Haki!
Kwa sababu yupo Chadema?!Sheikh pekee wa kutusemea Ni sheikh Ponda tu, wengine wote tupa kuleeeee
Haki ni usawa mbele ya sheria. Usawa huu ndio huleta amani. Kama kwenye jamii yenye sheria zake lkn kundi moja linavunja sheria hizo haliulizwi lakini kundi lingine likifanya sawa na kundi la kwanza linaandamwa, basi hapo usawa hakuna, hakuna haki na amani ni ngumu kupatikanaWewe usiye mchuuzi tupe maana ya Haki!
Unyarwanda wake ni upi?Huyu Gamanywa ni Mnyarwanda lazima ajifiche kwenye mbawa za madhalimu
Kamuulize Mnyarwanda mwenzako mtaelewana tuUnyarwanda wake ni upi?
Bwashee tusiombee machafuko!Bila machafuko kutakuwa na tafsiri nyingi za kupotosha. Machafuko tu ndio yatatoa tafsiri sahihi za huu uhuni.
Bwashee tusiombee machafuko!