Kaoge dimbwini , wenzio wanacheza sarakasi 😄😄, #tukutane280ktoba2020kwaamaniBila machafuko kutakuwa na tafsiri nyingi za kupotosha. Machafuko tu ndio yatatoa tafsiri sahihi za huu uhuni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaoge dimbwini , wenzio wanacheza sarakasi 😄😄, #tukutane280ktoba2020kwaamaniBila machafuko kutakuwa na tafsiri nyingi za kupotosha. Machafuko tu ndio yatatoa tafsiri sahihi za huu uhuni.
Nakubaliana na Sheikh. Huyo Gamanywa hicho cheo cha uaskofu feki alichojibandika anasababisha hata hilo neno 'askofu' watu waanze kulichukulia for granted.Askofu Gamanywa ameitafsiri Haki kama tunda la utii wa sheria na kwamba Sheria ndio hutoa haki. Gamanywa amesema Amani ni muhimu kuliko haki kwa sababu Haki hubadilika badilika kulingana na mabadiliko ya sheria lakini Amani iko pale pale...
Mi naungana na Shehe!!Askofu Gamanywa ameitafsiri Haki kama tunda la utii wa sheria na kwamba Sheria ndio hutoa haki. Gamanywa amesema Amani ni muhimu kuliko haki kwa sababu Haki hubadilika badilika kulingana na mabadiliko ya sheria lakini Amani iko pale pale...