Askofu Gamanywa: Makonda yuko sahihi Ushoga umekatazwa kwenye Biblia, wananchi acheni kushabikia dhambi

Kinyonga.... Dodoki.....
Askofu Gamanywa ambaye ni mjumbe wa kamati ya amani na juzikati aliliombea taifa pale Ikulu katika utiaji saini mkataba wa Barrick na Serikali amesema Marekani inamuonea Makonda.

Askofu Gamanywa amesisitiza kuwa ushoga ni katazo mbele za Mungu na ni dhambi isiyosameheka.

Gamanywa amedai kuwa Makonda ni kiongozi hodari, shujaa na mwenye uthubutu na kwamba hapa Tanzania hakuna mtu mwenye ubavu wa kuikemea Marekani kama alivyofanya Makonda.

Askofu Gamanywa ameitaka Marekani ijitafakari juu ya uamuzi wake usio wa haki.

Source: Ibadani BCIC - Mbezi jogoo

Jr[emoji769]
 
Kila mtu anajua Kwenye suala la kukemea ushoga makonda yuko sahihi...Ila swali ni Je kuna mwenye ubavu wa kuja public na kuukemea ushoga ndani ya serikali hii either Waziri wa mambo ya nje au Rais atoke adharani na kumuunga mkono..jibu ni Hapana. Sababu ni njaa na utegemezi...Karibu 40% ya budget inawategemea hao watetezi wa mashoga nani anaweza kuwapinga hadharani waondoe fedha zao mfe njaa. As Bold as He is JPM mwenyewe hawezi kemea ushoga hadharani maana anahofia kunyimwa misaada. Huu ndio ukweli na ni ukweli mchungu
 
Kwani unafikiri wanaposema haki za binadamu unafikiri wanamaana ipi ambayo makonda amevunja? Hukumbuki alivyoanza kupambana na mashoga na wauza madawa ya kulevya. Makonda amesaidia sana kupungua kwa ushoga Dar ilifikia kuwa wazi sana na waathirika wakubwa ni watoto ndiyo walengwa wakubwa na hao mabasha walio na pesa! Pia madawa yamepungua sana Kinondoni ilikuwa imeharibika sana!

Ki ukwel hakuna viumbe siwapendi kama mashoga na wala unga. alafu turudi kwenye mada
Huyo makonda kwa kupiga vita mashoga anamshinda Museven? ukipata jibu unganisha dot... Na pia hiyo kuzuiya haki za binadam kama wamelenga ushoga kwani ni makonda au nj sheria zetu wa Tz.
 
Na ndiyo wanatumiwa na ccm kuwasafisha

Sent using Jamii Forums mobile app
CCM ya magufuli inasikitisha. Imeporomoka kwenye sera, propaganda hadi kwenye watu wazuri wanaojenga hoja na wenye akili nzuri.

Kwani kwenye statement ya Pompeo kasema suala la ushoga tu??? Hilo la demokrasia na kuwanyang’anya watu haki ya kuishi je????

Kwani ndani ya Tanzania watu hawalalamiki utekaji? Hawalalamiki kufunguliwa kesi za kusingiziwa???
 
Ngoja waje mashoga na mabasha wao watoe mapovu ya OMO!
"Makonda"/bashite kazuiliwa kwenda USA kwasababu nne, sababu kuu ikiwa ni kuuwa/ kuondoa roho za watanzanaia wanao tofautiana na Magufuli.
 
Wanaoshangilia wenyewe ni mashoga kwa hiyo huyo Askofu wala asipate tu.

Muda wowote hizo biblia zenyewe zitapigwa ban huko maana zinaminya haki za LBGT.
 
Askofu Gamanywa ambaye ni mjumbe wa kamati ya amani na juzikati aliliombea taifa pale Ikulu katika utiaji saini mkataba wa Barrick na Serikali amesema Marekani inamuonea Makonda.

Askofu Gamanywa amesisitiza kuwa ushoga ni katazo mbele za Mungu na ni dhambi isiyosameheka.

Gamanywa amedai kuwa Makonda ni kiongozi hodari, shujaa na mwenye uthubutu na kwamba hapa Tanzania hakuna mtu mwenye ubavu wa kuikemea Marekani kama alivyofanya Makonda.

Askofu Gamanywa ameitaka Marekani ijitafakari juu ya uamuzi wake usio wa haki.

Source: Ibadani BCIC - Mbezi jogoo
Nenda ukamwambie kuwa hivyo vitamko vyenu uchwara havitasaidia kitu. Kama ni ushoga hata China unapingwa lakini wachina hawajakatazwa kuingia Marekani.

Nendeni mkamwambie kuwa G Sam anasema kuwa Makonda ana tuhuma za mauaji mabaya!
 
CCM ya magufuli inasikitisha. Imeporomoka kwenye sera, propaganda hadi kwenye watu wazuri wanaojenga hoja na wenye akili nzuri.

Sasa Gwajima na ushenzi na machafu yake ambayo Serikali tu ya Tanzania na watanzania wanayajua mengi sana ndo mtu wa kumtumia kuwasafisha???

Kwani kwenye statement ya Pompeo kasema suala la ushoga tu??? Hilo la demokrasia na kuwanyang’anya watu haki ya kuishi je????

Kwani ndani ya Tanzania watu hawalalamiki utekaji? Hawalalamiki kufunguliwa kesi za kusingiziwa???
Gamanywa siyo Gwajima bwashee?!
 
Askofu Gamanywa ambaye ni mjumbe wa kamati ya amani na juzikati aliliombea taifa pale Ikulu katika utiaji saini mkataba wa Barrick na Serikali amesema Marekani inamuonea Makonda.

Askofu Gamanywa amesisitiza kuwa ushoga ni katazo mbele za Mungu na ni dhambi isiyosameheka.

Gamanywa amedai kuwa Makonda ni kiongozi hodari, shujaa na mwenye uthubutu na kwamba hapa Tanzania hakuna mtu mwenye ubavu wa kuikemea Marekani kama alivyofanya Makonda.

Askofu Gamanywa ameitaka Marekani ijitafakari juu ya uamuzi wake usio wa haki.

Source: Ibadani BCIC - Mbezi jogoo
Mbona mnajitengenezea sababu zenu za uongo?rudini kwenye bandiko la pompeo zimetajwa sababu tatizo mlifikiri mliyokuwa mnayafanya ya kuteka na kuuwa watu hamtajulikana,mmempoteza schoolment wangu saa nane,lisu mmempiga risasi,Roma mkatoliki,mo,na wengine wengi Sasa yamejulikana mnataka kutupoteza na ushoga wenu,kwanza nchi yetu haijakataza ushoga njoo hapa nyakato musoma nikuoneshe mashoga!!!!!,je sababu zilizo tolewa ni za kweli?Kuna mtanzania ambaye hajui kuwa Kuna watu wamepotea?Kuna mtanzania ambaye hajui kuwa hakuna Uhuru wa kupata na kutoa habari?,Kuna mtu asiyejua yanayoendelea hapo jiji la makonda kuhusu kukandamiza wapinzani,mfano meya wa jiji(mwita),watanzania wote tunajua hata sisi wa mikoani tunajua alicho kufanya kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo la ukonga,,pia tunajua agizo lake kuhusu kushusha bendera za chadema mlimani city,,,,mjue Kila linalofanyika hapa duniani linafahamika hususani kwa hizi nchi masikini Kama yetu ambapo viongozi wa sirikali wanatumia mfumo wa technologia ya mabeberu kwenye mawasiliano,,tujadili hoja zilizotolewa ni za kweli na makonda kahusikaje?
 
Askofu Gamanywa ambaye ni mjumbe wa kamati ya amani na juzikati aliliombea taifa pale Ikulu katika utiaji saini mkataba wa Barrick na Serikali amesema Marekani inamuonea Makonda.

Askofu Gamanywa amesisitiza kuwa ushoga ni katazo mbele za Mungu na ni dhambi isiyosameheka.

Gamanywa amedai kuwa Makonda ni kiongozi hodari, shujaa na mwenye uthubutu na kwamba hapa Tanzania hakuna mtu mwenye ubavu wa kuikemea Marekani kama alivyofanya Makonda.

Askofu Gamanywa ameitaka Marekani ijitafakari juu ya uamuzi wake usio wa haki.

Source: Ibadani BCIC - Mbezi jogoo
Askofu kasome barua ya Pompeo,Watanzania sio wajinga

Katazo mbele za Mungu si ushoga tu, pia usengenyaji, uongo, zinaa, mawazo mabaya, kuabudu sanamu n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ccm kwa sasa ipo icu
CCM ya magufuli inasikitisha. Imeporomoka kwenye sera, propaganda hadi kwenye watu wazuri wanaojenga hoja na wenye akili nzuri.

Kwani kwenye statement ya Pompeo kasema suala la ushoga tu??? Hilo la demokrasia na kuwanyang’anya watu haki ya kuishi je????

Kwani ndani ya Tanzania watu hawalalamiki utekaji? Hawalalamiki kufunguliwa kesi za kusingiziwa???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapendwa maaskofu mnao tafuta mkate wenyu wa kila siku, Muogopeni Mungu!!! Usishabikie tu kumtetea DAB kwa sasa hivi. Jua kwamba, tatizo sio yeye kutoenda US, tatizo ni je, ametambua yaliyo andikwa kwenye ile barua ya Pompeo?? Msomeeni, msaidieni aielewe. Kama kaja kwenu kusema kuwa, ameonewa kwa kuichukia dhambi mwambieni kuwa; Barua ya Mr. Pompeo imesema mengi sana makubwa ya kutisha kuwa yeye RC wa Darisalama anatenda maovu. Mfano; Atiii; Anazuia haki za watu wengine kuishi. Sio kuishi kwa raha zao za kishoga bali kuishi yaani anawakatisha uhai.
Mh Baba askofu, naomba nenda tu ukatubu. Hao waumini ulio wadanganya leo hii ni wengi mno. Ukawaambia ati DAB amenyimwa kuingia US kwa sababu ya kuipinga dhambi ya ushoga. No, hiyo si kweli hata kidogo. Askofu nakusahihisha. Usiangukie mtego huu. We ni mtu wa maana sana ila ukifanya mchezo utajidhalilisha. Tutakuona kama Msaka tonge.
 
Gwamanywa endelea kujitoa ufahamu tu....Habari ya Mjini ni MIKE POMPEO kumla BAN BASHITE kwa KUUA WATU.
 
Back
Top Bottom