Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Kawaulize wana cdm
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale wanaotumiwa na chadema siku hizi wako wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale wanaotumiwa na chadema siku hizi wako wapi?
Alaaah kumbe?Kuna madhehebu mengine tena yanajiita kongwe hayawezi kukemea ushoga hadharani kwa kuwa ushoga tayari upo ndani ya madhehebu yao kongwe.
Mheshimiwa sana pompelo atuambie kitendo cha kumuua General wa vita kule iran ilikua sahii , au yeye hana haki ya kuishi?
Askofu Gamanywa ambaye ni mjumbe wa kamati ya amani na juzikati aliliombea taifa pale Ikulu katika utiaji saini mkataba wa Barrick na Serikali amesema Marekani inamuonea Makonda.
Askofu Gamanywa amesisitiza kuwa ushoga ni katazo mbele za Mungu na ni dhambi isiyosameheka.
Gamanywa amedai kuwa Makonda ni kiongozi hodari, shujaa na mwenye uthubutu na kwamba hapa Tanzania hakuna mtu mwenye ubavu wa kuikemea Marekani kama alivyofanya Makonda.
Askofu Gamanywa ameitaka Marekani ijitafakari juu ya uamuzi wake usio wa haki.
Source: Ibadani BCIC - Mbezi jogoo
Mbona hiyo icc iliwashindwa akina uhuruto kama kweli.
Aaa yamekua hayo !
Endeleeni ni kukiuka haki za binadamu siku mkimezeshwa ndoano msije kuwalaumu kina zitto na chadema,Mkopo mmenyimwa kwasababu ya kuwabagua wasichana wanaopata mimba shuleni lawama zote mnampa zitto wakati mmeyakoroga wenyewe.Unamshangilia nani? Pom nini? Malawiti hawa! Shauri yako. Ukiona mtu anamshangilia mmarekani kwa Afrika, ujue ufahamu uko hoi. Hakuna nchi iliyosaidiwa na US ktk Africa hii na ikaendelea. Sitegemei chochote chema toka US!
Wenyewe husoma vichwa vya habari si maudhui na ndipo "huanza kupayuka kama wenye mapepo!!"Mpe 'twita' ya Pompeo halafu arudie hotuba, halafu atwambie na Sweeden wamesemaje ili tubaki njia kuu.
Hakuna cha mimba hapo! Ni chuki ya mikataba ya madini na umeme wao wa Dwans tu! Basi! US na Ulaya walishajua Afrika ni shamba la bibi. Ungekuwa na ufahamu kama wangu, tungejadili kisomi lakini naona kama uko chini kiasi! Nchi gani Duniani imeendeleza elimu ya watoto wao kwa kuruhusu waliozaa kukaa darasani tena? Au ni majaribio tena kwetu?Endeleeni ni kukiuka haki za binadamu siku mkimezeshwa ndoano msije kuwalaumu kina zitto na chadema,Mkopo mmenyimwa kwasababu ya kuwabagua wasichana wanaopata mimba shuleni lawama zote mnampa zitto wakati mmeyakoroga wenyewe.
Implied! Au ulitaka aseme wazi.
Masisiemu Sasa ndio yamejua kiasi ambacho magufuli hawaamini.kwa hili la ushoga makonda alifauru