Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpe 'twita' ya Pompeo halafu arudie hotuba, halafu atwambie na Sweeden wamesemaje ili tubaki njia kuu.
SawaAskofu Gamanywa ambaye ni mjumbe wa kamati ya amani na juzikati aliliombea taifa pale Ikulu katika utiaji saini mkataba wa Barrick na Serikali amesema Marekani inamuonea Makonda.
Askofu Gamanywa amesisitiza kuwa ushoga ni katazo mbele za Mungu na ni dhambi isiyosameheka.
Gamanywa amedai kuwa Makonda ni kiongozi hodari, shujaa na mwenye uthubutu na kwamba hapa Tanzania hakuna mtu mwenye ubavu wa kuikemea Marekani kama alivyofanya Makonda.
Askofu Gamanywa ameitaka Marekani ijitafakari juu ya uamuzi wake usio wa haki.
Source: Ibadani BCIC - Mbezi jogoo
Watajutia nini bwashee?!Ipo siku hawa wachungaji watakuja kujuta sana
Kaongea utumboAskofu Gamanywa ambaye ni mjumbe wa kamati ya amani na juzikati aliliombea taifa pale Ikulu katika utiaji saini mkataba wa Barrick na Serikali amesema Marekani inamuonea Makonda.
Askofu Gamanywa amesisitiza kuwa ushoga ni katazo mbele za Mungu na ni dhambi isiyosameheka.
Gamanywa amedai kuwa Makonda ni kiongozi hodari, shujaa na mwenye uthubutu na kwamba hapa Tanzania hakuna mtu mwenye ubavu wa kuikemea Marekani kama alivyofanya Makonda.
Askofu Gamanywa ameitaka Marekani ijitafakari juu ya uamuzi wake usio wa haki.
Source: Ibadani BCIC - Mbezi jogoo
Askofu Gamanywa ambaye ni mjumbe wa kamati ya amani na juzikati aliliombea taifa pale Ikulu katika utiaji saini mkataba wa Barrick na Serikali amesema Marekani inamuonea Makonda.

Sasa kinachomtuma kujiondoa ufahamu nini nini. Au kuna mahali Pompeo ameandika ushoga? Kaandika Mimba za watoto wa shule, kuminywa haki za binadamu, kuwabana wapinzani etcAskofu Gamanywa ni mwanahabari anayemiliki gazeti na Radio......hivyo uelewa wake siutilii shaka!
Asikofu Gamanywa ni kama mwamposa tu hana lolote huyo usikute kala vicent vya Daud Bashite amsaidie kuwaaminisha watanzania wachache kuwa kosa la makonda Daud Bashite ni kukemea ushoga, Asikofu Gamanywa Tambua kuwa watanzania siyo wajinga kama unavyowaza na kufikiri, watanzania wengi wana Akili na wanajua kosa la Daud Bashite ni kuwabambikia kesi kuwapiga risasi kuwahujumu wapinzani wa utawala wao na wala siyo ushogaAskofu Gamanywa ambaye ni mjumbe wa kamati ya amani na juzikati aliliombea taifa pale Ikulu katika utiaji saini mkataba wa Barrick na Serikali amesema Marekani inamuonea Makonda.
Askofu Gamanywa amesisitiza kuwa ushoga ni katazo mbele za Mungu na ni dhambi isiyosameheka.
Gamanywa amedai kuwa Makonda ni kiongozi hodari, shujaa na mwenye uthubutu na kwamba hapa Tanzania hakuna mtu mwenye ubavu wa kuikemea Marekani kama alivyofanya Makonda.
Askofu Gamanywa ameitaka Marekani ijitafakari juu ya uamuzi wake usio wa haki.
Source: Ibadani BCIC - Mbezi jogoo
Asikofu kajitoa fahamu kaamua kujipendekeza kwa Daud Bashite akizani watanzania ni wajinga kama yeyeSasa kinachomtuma kujiondoa ufahamu nini nini. Au kuna mahali Pompeo ameandika ushoga? Kaandika Mimba za watoto wa shule, kuminywa haki za binadamu, kuwabana wapinzani etc
Kwani DAB ameshaacha?Askofu Gamanywa ambaye ni mjumbe wa kamati ya amani na juzikati aliliombea taifa pale Ikulu katika utiaji saini mkataba wa Barrick na Serikali amesema Marekani inamuonea Makonda.
Askofu Gamanywa amesisitiza kuwa ushoga ni katazo mbele za Mungu na ni dhambi isiyosameheka.
Gamanywa amedai kuwa Makonda ni kiongozi hodari, shujaa na mwenye uthubutu na kwamba hapa Tanzania hakuna mtu mwenye ubavu wa kuikemea Marekani kama alivyofanya Makonda.
Askofu Gamanywa ameitaka Marekani ijitafakari juu ya uamuzi wake usio wa haki.
Source: Ibadani BCIC - Mbezi jogoo
Kaka yako mbona anatoa ndogo?[emoji41]Wanaoshangilia wenyewe ni mashoga kwa hiyo huyo Askofu wala asipate tu.
Muda wowote hizo biblia zenyewe zitapigwa ban huko maana zinaminya haki za LBGT.