Askofu Gamanywa: Makonda yuko sahihi Ushoga umekatazwa kwenye Biblia, wananchi acheni kushabikia dhambi

Askofu Gamanywa: Makonda yuko sahihi Ushoga umekatazwa kwenye Biblia, wananchi acheni kushabikia dhambi

Askofu Gamanywa ambaye ni mjumbe wa kamati ya amani na juzikati aliliombea taifa pale Ikulu katika utiaji saini mkataba wa Barrick na Serikali amesema Marekani inamuonea Makonda.

Askofu Gamanywa amesisitiza kuwa ushoga ni katazo mbele za Mungu na ni dhambi isiyosameheka.

Gamanywa amedai kuwa Makonda ni kiongozi hodari, shujaa na mwenye uthubutu na kwamba hapa Tanzania hakuna mtu mwenye ubavu wa kuikemea Marekani kama alivyofanya Makonda.

Askofu Gamanywa ameitaka Marekani ijitafakari juu ya uamuzi wake usio wa haki.

Source: Ibadani BCIC - Mbezi jogoo
Gamanywa amelisoma tamko la katazo la Makonda na kulielewa? Inamaana yale mengine hajayaona?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa hapa
 

Attachments

  • 2195453_1572163557838.png
    2195453_1572163557838.png
    233.6 KB · Views: 1
Gamanywa anajaribu kupindisha hoja za zuio la DAB kuingia Marekani, ushoga si miongoni mwa hoja hizo. Hebu aongee vizuri na mfuasi wake ili atubu dhambi zote. Anyway ndio maana hata kuna wakati naona na kusikia kinyaa baadhi ya watu wakijiita Askofu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mauaji na Utekaji watanzania wenzie ni poa ila usenge sio sawa. GWAJIMA hata kama unataka urudishwe kwenye viwanja vya kawe sio kihivyo.
Muogope Mungu
 
Back
Top Bottom