Na kuhusu kuwanyima binadamu wenzake haki ya kuishi Gamanywa hajaiona kaona ushoga tu, huyu ndiyo hao hao akina Bulldozer.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja waje mashoga na mabasha wao watoe mapovu ya OMO!
Askofu Gamanywa ambaye ni mjumbe wa kamati ya amani na juzikati aliliombea taifa pale Ikulu katika utiaji saini mkataba wa Barrick na Serikali amesema Marekani inamuonea Makonda.
Askofu Gamanywa amesisitiza kuwa ushoga ni katazo mbele za Mungu na ni dhambi isiyosameheka.
Gamanywa amedai kuwa Makonda ni kiongozi hodari, shujaa na mwenye uthubutu na kwamba hapa Tanzania hakuna mtu mwenye ubavu wa kuikemea Marekani kama alivyofanya Makonda.
Askofu Gamanywa ameitaka Marekani ijitafakari juu ya uamuzi wake usio wa haki.
Source: Ibadani BCIC - Mbezi jogoo
Askofu Gamanywa ni mwanahabari anayemiliki gazeti na Radio......hivyo uelewa wake siutilii shaka!
Kwani unafikiri wanaposema haki za binadamu unafikiri wanamaana ipi ambayo makonda amevunja? Hukumbuki alivyoanza kupambana na mashoga na wauza madawa ya kulevya. Makonda amesaidia sana kupungua kwa ushoga Dar ilifikia kuwa wazi sana na waathirika wakubwa ni watoto ndiyo walengwa wakubwa na hao mabasha walio na pesa! Pia madawa yamepungua sana Kinondoni ilikuwa imeharibika sana!
CCM ya magufuli inasikitisha. Imeporomoka kwenye sera, propaganda hadi kwenye watu wazuri wanaojenga hoja na wenye akili nzuri.
"Makonda"/bashite kazuiliwa kwenda USA kwasababu nne, sababu kuu ikiwa ni kuuwa/ kuondoa roho za watanzanaia wanao tofautiana na Magufuli.Ngoja waje mashoga na mabasha wao watoe mapovu ya OMO!
Nenda ukamwambie kuwa hivyo vitamko vyenu uchwara havitasaidia kitu. Kama ni ushoga hata China unapingwa lakini wachina hawajakatazwa kuingia Marekani.Askofu Gamanywa ambaye ni mjumbe wa kamati ya amani na juzikati aliliombea taifa pale Ikulu katika utiaji saini mkataba wa Barrick na Serikali amesema Marekani inamuonea Makonda.
Askofu Gamanywa amesisitiza kuwa ushoga ni katazo mbele za Mungu na ni dhambi isiyosameheka.
Gamanywa amedai kuwa Makonda ni kiongozi hodari, shujaa na mwenye uthubutu na kwamba hapa Tanzania hakuna mtu mwenye ubavu wa kuikemea Marekani kama alivyofanya Makonda.
Askofu Gamanywa ameitaka Marekani ijitafakari juu ya uamuzi wake usio wa haki.
Source: Ibadani BCIC - Mbezi jogoo
Gamanywa siyo Gwajima bwashee?!CCM ya magufuli inasikitisha. Imeporomoka kwenye sera, propaganda hadi kwenye watu wazuri wanaojenga hoja na wenye akili nzuri.
Sasa Gwajima na ushenzi na machafu yake ambayo Serikali tu ya Tanzania na watanzania wanayajua mengi sana ndo mtu wa kumtumia kuwasafisha???
Kwani kwenye statement ya Pompeo kasema suala la ushoga tu??? Hilo la demokrasia na kuwanyang’anya watu haki ya kuishi je????
Kwani ndani ya Tanzania watu hawalalamiki utekaji? Hawalalamiki kufunguliwa kesi za kusingiziwa???
Mbona mnajitengenezea sababu zenu za uongo?rudini kwenye bandiko la pompeo zimetajwa sababu tatizo mlifikiri mliyokuwa mnayafanya ya kuteka na kuuwa watu hamtajulikana,mmempoteza schoolment wangu saa nane,lisu mmempiga risasi,Roma mkatoliki,mo,na wengine wengi Sasa yamejulikana mnataka kutupoteza na ushoga wenu,kwanza nchi yetu haijakataza ushoga njoo hapa nyakato musoma nikuoneshe mashoga!!!!!,je sababu zilizo tolewa ni za kweli?Kuna mtanzania ambaye hajui kuwa Kuna watu wamepotea?Kuna mtanzania ambaye hajui kuwa hakuna Uhuru wa kupata na kutoa habari?,Kuna mtu asiyejua yanayoendelea hapo jiji la makonda kuhusu kukandamiza wapinzani,mfano meya wa jiji(mwita),watanzania wote tunajua hata sisi wa mikoani tunajua alicho kufanya kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo la ukonga,,pia tunajua agizo lake kuhusu kushusha bendera za chadema mlimani city,,,,mjue Kila linalofanyika hapa duniani linafahamika hususani kwa hizi nchi masikini Kama yetu ambapo viongozi wa sirikali wanatumia mfumo wa technologia ya mabeberu kwenye mawasiliano,,tujadili hoja zilizotolewa ni za kweli na makonda kahusikaje?Askofu Gamanywa ambaye ni mjumbe wa kamati ya amani na juzikati aliliombea taifa pale Ikulu katika utiaji saini mkataba wa Barrick na Serikali amesema Marekani inamuonea Makonda.
Askofu Gamanywa amesisitiza kuwa ushoga ni katazo mbele za Mungu na ni dhambi isiyosameheka.
Gamanywa amedai kuwa Makonda ni kiongozi hodari, shujaa na mwenye uthubutu na kwamba hapa Tanzania hakuna mtu mwenye ubavu wa kuikemea Marekani kama alivyofanya Makonda.
Askofu Gamanywa ameitaka Marekani ijitafakari juu ya uamuzi wake usio wa haki.
Source: Ibadani BCIC - Mbezi jogoo
Ndo mana nimeifuta iyo part comradeGamanywa siyo Gwajima bwashee?!
Askofu kasome barua ya Pompeo,Watanzania sio wajingaAskofu Gamanywa ambaye ni mjumbe wa kamati ya amani na juzikati aliliombea taifa pale Ikulu katika utiaji saini mkataba wa Barrick na Serikali amesema Marekani inamuonea Makonda.
Askofu Gamanywa amesisitiza kuwa ushoga ni katazo mbele za Mungu na ni dhambi isiyosameheka.
Gamanywa amedai kuwa Makonda ni kiongozi hodari, shujaa na mwenye uthubutu na kwamba hapa Tanzania hakuna mtu mwenye ubavu wa kuikemea Marekani kama alivyofanya Makonda.
Askofu Gamanywa ameitaka Marekani ijitafakari juu ya uamuzi wake usio wa haki.
Source: Ibadani BCIC - Mbezi jogoo
Katazo mbele za Mungu si ushoga tu, pia usengenyaji, uongo, zinaa, mawazo mabaya, kuabudu sanamu n.kAskofu Gamanywa ambaye ni mjumbe wa kamati ya amani na juzikati aliliombea taifa pale Ikulu katika utiaji saini mkataba wa Barrick na Serikali amesema Marekani inamuonea Makonda.