Askofu Gamanywa: Pepo la kuasi liko ndani ya vyama vyote vya siasa siyo upinzani pekee

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
21,741
Reaction score
26,735
MEZA YA BUSARA WAPO RADIO ipo hewani muda huu ni vizuri kuiskiliza, leo imekuja na hoja kuwa Upinzani ni uasi. Huku ni kipindi maalum kilichozinduliwa na Polepole wiki iliyopita mahsusi kwa kampeni za uchaguzi kwa CCM.
 
Askofu Gamanywa amesema baba wa uasi ni shetani na roho yake imetapakaa katika vyama vyote vya siasa.

Gamanywa anasema kuasi ni hali ya kushindwa kutii mamlaka na kwamba vyama vya upinzani vinapaswa kuitii serikali na ilani ya CCM inayotumikia.Uasi ndani ya chama tawala ni pale wanachama wanaposhindwa kutii mamlaka.

Gamanywa anasisitiza kuwa kutofautiana kiitikadi siyo Uasi bali kushindwa kutii mamlaka halali ndio kiini cha Uasi.

Source: Meza ya Busara, Wapo radio!
 
Alishaunga mkono juhudi kitambo
 
Haiwezi kuwa vyama vyote wakati vinginevyo vinatakiwa kuitii CCM yaani chama tawala!
Hiki ni kipindi maalum kilizinduliwa wiki iliyopita na Polepole kwa ajili ya kampeni za CCM uchaguzi ujao.
 
ANGALIZO: Kichwa cha Uzi nilichoandika mimi siyo haki nilichowekewa na mtu nisiye mjua, mimi niliweka kwa mujibu wa aliyeanzisha mada, hilo ni tatizo.
 
Itakuwa Nelson Mandela na weusi wengi wa South Africa walikuwa waasi, maana waliupinga utawala wa weupe nchini humo
 
  • Thanks
Reactions: bne
Hili lizee nikilionaga na ule mtambi tambi wake naonaga kinyaa hasa ule mdomo wake uliokaa kilafi!
Askofu Gamanywa amesema baba wa uasi ni shetani na roho yake imetapakaa katika vyama vyote vya siasa.

Gamanywa anasema kuasi ni hali ya kushindwa kutii mamlaka na kwamba vyama vya upinzani vinapaswa kuitii serikali na ilani ya CCM inayotumikia.Uasi ndani ya chama tawala ni pale wanachama wanaposhindwa kutii mamlaka.

Gamanywa anasisitiza kuwa kutofautiana kiitikadi siyo Uasi bali kushindwa kutii mamlaka halali ndio kiini cha Uasi.

Source: Meza ya Busara, Wapo radio!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maana yake ni kuwa Mwalimu Nyerere naye alikuwa muasi na shetani, maana aliipinga serikali ya kikoloni?
 
  • Thanks
Reactions: bne
Nyerere na wenzake walipoanzisha TANU si walikuwa wanapinga utawala wa wakoloni, sasa kwa mujibu wa hoja hii Askofu anatuambia hawakua sahihi?

Dah! Haya maneno kuna siku atatamani asingeyatamka maana yanapotosha na shida huanza pale unapojenga hoja ili kuufurahisha upande fulani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maana yake ni kuwa Mwalimu Nyerere naye alikuwa muasi na shetani, maana aliipinga serikali ya kikoloni?
Serikali ya kikoloni haikuwa mamlaka halali. Ukoloni si jambo la Mungu.
 
Askofu Gamanywa amesema baba wa uasi ni shetani na roho yake imetapakaa katika vyama vyote vya siasa.

Gamanywa anasema kuasi ni hali ya kushindwa kutii mamlaka na kwamba vyama vya upinzani vinapaswa kuitii serikali na ilani ya CCM inayotumikia.Uasi ndani ya chama tawala ni pale wanachama wanaposhindwa kutii mamlaka.

Gamanywa anasisitiza kuwa kutofautiana kiitikadi siyo Uasi bali kushindwa kutii mamlaka halali ndio kiini cha Uasi.

Source: Meza ya Busara, Wapo radio!
Kwa hiyo Gamanywa na wachungaji wenzake waliokataa kutii mamlaka ya shirika la afya duniani (WHO) ambalo linashauri "Social Distancing" wameasi kwa kutoitii mamlaka halali duniani, si ndio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Redio Kama hizi ndizo zilizosababisha muuwaji ya halaiki kule rwanda kwa jinsi walivyokua wanashabikia serikali iliyokua madarakani ya wakati ule
 
Back
Top Bottom