Kampeni zimeshaanza rasmi?Tumemalizana na COVID-19 tayari?Mbona kama tunahamisha magoli na kubadili kanuni za mchezo?
MEZA YA BUSARA WAPO RADIO ipo hewani muda huu ni vizuri kuiskiliza, leo imekuja na hoja kuwa Upinzani ni uasi. Huku ni kipindi maalum kilichozinduliwa na Polepole wiki iliyopita mahsusi kwa kampeni za uchaguzi kwa CCM.