Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Alishaunga mkono juhudi kitamboAskofu Gamanywa amesema baba wa uasi ni shetani na roho yake imetapakaa katika vyama vyote vya siasa.
Gamanywa anasema kuasi ni hali ya kushindwa kutii mamlaka na kwamba vyama vya upinzani vinapaswa kuitii serikali na ilani ya CCM inayotumikia.Uasi ndani ya chama tawala ni pale wanachama wanaposhindwa kutii mamlaka.
Gamanywa anasisitiza kuwa kutofautiana kiitikadi siyo Uasi bali kushindwa kutii mamlaka halali ndio kiini cha Uasi.
Source: Meza ya Busara, Wapo radio!
Haiwezi kuwa vyama vyote wakati vinginevyo vinatakiwa kuitii CCM yaani chama tawala!Askofu Gamanywa amesema baba wa uasi ni shetani na roho yake imetapakaa katika vyama vyote vya siasa.
Gamanywa anasema kuasi ni hali ya kushindwa kutii mamlaka na kwamba vyama vya upinzani vinapaswa kuitii serikali na ilani ya CCM inayotumikia.Uasi ndani ya chama tawala ni pale wanachama wanaposhindwa kutii mamlaka.
Gamanywa anasisitiza kuwa kutofautiana kiitikadi siyo Uasi bali kushindwa kutii mamlaka halali ndio kiini cha Uasi.
Source: Meza ya Busara, Wapo radio!
Upinzani Ni pepo .Na hili.neno vyama vya upenzani Ni jina la kipepo vilitakiwa viitwe vyama vyenye mawazo mbadala sio vya upinzani pepo la upinzani limewaingiaMimi naona upinzani wa kupinga kila kitu ni km usaliti kwa Nchi
Askofu Gamanywa amesema baba wa uasi ni shetani na roho yake imetapakaa katika vyama vyote vya siasa.
Gamanywa anasema kuasi ni hali ya kushindwa kutii mamlaka na kwamba vyama vya upinzani vinapaswa kuitii serikali na ilani ya CCM inayotumikia.Uasi ndani ya chama tawala ni pale wanachama wanaposhindwa kutii mamlaka.
Gamanywa anasisitiza kuwa kutofautiana kiitikadi siyo Uasi bali kushindwa kutii mamlaka halali ndio kiini cha Uasi.
Source: Meza ya Busara, Wapo radio!
Hahahaaaa....... Kichwa cha habari ni sahihi kabisa bwashee!ANGALIZO: Kichwa cha Uzi nilichoandika mimi siyo haki nilichowekewa na mtu nisiye mjua, mimi niliweka kwa mujibu wa aliyeanzisha mada, hilo ni tatizo.
Serikali ya kikoloni haikuwa mamlaka halali. Ukoloni si jambo la Mungu.Maana yake ni kuwa Mwalimu Nyerere naye alikuwa muasi na shetani, maana aliipinga serikali ya kikoloni?
Kwa hiyo Gamanywa na wachungaji wenzake waliokataa kutii mamlaka ya shirika la afya duniani (WHO) ambalo linashauri "Social Distancing" wameasi kwa kutoitii mamlaka halali duniani, si ndio.Askofu Gamanywa amesema baba wa uasi ni shetani na roho yake imetapakaa katika vyama vyote vya siasa.