G Gellangi JF-Expert Member Joined Apr 11, 2016 Posts 2,782 Reaction score 3,018 May 7, 2020 #21 Kampeni zimeshaanza rasmi?Tumemalizana na COVID-19 tayari?Mbona kama tunahamisha magoli na kubadili kanuni za mchezo? elvischirwa said: MEZA YA BUSARA WAPO RADIO ipo hewani muda huu ni vizuri kuiskiliza, leo imekuja na hoja kuwa Upinzani ni uasi. Huku ni kipindi maalum kilichozinduliwa na Polepole wiki iliyopita mahsusi kwa kampeni za uchaguzi kwa CCM. Click to expand...
Kampeni zimeshaanza rasmi?Tumemalizana na COVID-19 tayari?Mbona kama tunahamisha magoli na kubadili kanuni za mchezo? elvischirwa said: MEZA YA BUSARA WAPO RADIO ipo hewani muda huu ni vizuri kuiskiliza, leo imekuja na hoja kuwa Upinzani ni uasi. Huku ni kipindi maalum kilichozinduliwa na Polepole wiki iliyopita mahsusi kwa kampeni za uchaguzi kwa CCM. Click to expand...
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 23,683 Reaction score 55,898 Sep 23, 2020 #22 Faru Kabula said: Itakuwa Nelson Mandela na weusi wengi wa South Africa walikuwa waasi, maana waliupinga utawala wa weupe nchini humo Click to expand... Hata Nyerere, Karume, Kenyatta, Mugabe, Kaunda, Kamuzu Banda n.k wote waasi.
Faru Kabula said: Itakuwa Nelson Mandela na weusi wengi wa South Africa walikuwa waasi, maana waliupinga utawala wa weupe nchini humo Click to expand... Hata Nyerere, Karume, Kenyatta, Mugabe, Kaunda, Kamuzu Banda n.k wote waasi.