Askofu George John: Wote mnaomlaani na kumtakia mabaya Rais Samia haiwezi kumpata

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Wakuu,

Askofu kalambishwa asali

"Kwa wale wote wanaotamka mabaya juu ya Rais, sikia: Hakuna neno lolote kwenye Biblia linalosema unaweza kumtamkia Rais neno lolote, wala kumlaani kwa jambo lolote, haiwezi kumpata. Haimpati! Jambo lolote baya halimpati Rais.

Sasa kwa wale ambao mnafanya vile kupitia vyombo vya habari, mnaeneza, mnamtukana Rais—ndio mwingine unaziona klipu fulani kwenye Facebook, WhatsApp namna ya kumdhalilisha Rais—tunaipinga kwa nguvu zote! Tuache hiyo tabia mara moja" - Amesema Askofu George John


Your browser is not able to display this video.
 
yuko sahihi 100% askofu na kiongozi huyo wa kiroho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…