The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Askofu Josephat Gwajima akiwa na walinzi wake aenda kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya WanaCCM kumteua tena kugombea ubunge wa jimbo la Kawe.
======
Ufuatiliaji uliofanywa na JamiiCheck umejiridhisha kuwa kipande cha video kinachomuonesha Askofu Josephat Gwajima akienda kuchukua fomu ya ubunge jimbo la Kawe si ya mwaka 2025.
Video hiyo ni ya tukio la Julai 14, 2020 ambapo Gwajima alienda kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa mgombea wa jimbo la Kawe kupitia Chama cha mapinduzi (CCM)
Pia soma, POTOSHI, Askofu Gwajima amechukua fomu ya ubunge jimbo la Kawe Juni, 2025