Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 62,832
- 77,037
Wazee wa NRNE wanasemaje?
Wazee wa NRNE wanasemaje?
Atakuwa hakusikiaAhahahahaha! Wajinga ndio waliwao. Kwanza kwa kwenda na kundi la watu hivyo, ameishapoteza sifa ya kuteuliwa na chama kama Mgombea. Maelekezo ni kutokwenda na misafara.
Kuna kijikanisa klififunguliwa mtaanni hapa ..ni makelele matupu, ndani ya miezi 2 , mhubiri ana cruiser zx mpya ..Dini ni mradi wa watu haijalishi ni Christian or Muslim .
Kwahiyo usipokuwa na akili utakaa unalaumu waislamu na kusifia wakristu wakati hao wote wanafanya Kazi moja na kuuza bidhaa moja.
Be smart religion is scam and is for low minded people
Kama umejua ni mradi basi umejua kuwa dini zitatumika kuangamiza taifa ndiyo maana nawapinga wanao leta mambo ya dini serikalini...napinga hijabu napinga masomo ya dini napinga shule za kidini kufundisha elimu dunia yaani kama muislamu au mkristo au taasisi ya dini imefungua shule basi hiyo shule primary au secondary zisiwe na mambo ya dini .....mimi siyo mpumbavu din8 zibaki m8sikitoni na makanisan8 tu overDini ni mradi wa watu haijalishi ni Christian or Muslim .
Kwahiyo usipokuwa na akili utakaa unalaumu waislamu na kusifia wakristu wakati hao wote wanafanya Kazi moja na kuuza bidhaa moja.
Be smart religion is scam and is for low minded people
Hata ccm asiye kuwa chawa na siyekuwa tayari kuona taifa likihujumiwa ni rafiki ya wana NRNEWazee wa NRNE wanasemaje?
Okay. Alikuwa kwenye yale ya siku saba labda!Atakuwa hakusikia
Hao ni walinzi sio wakereketwa. Hata samia ali3nda nao.Ahahahahaha! Wajinga ndio waliwao. Kwanza kwa kwenda na kundi la watu hivyo, ameishapoteza sifa ya kuteuliwa na chama kama Mgombea. Maelekezo ni kutokwenda na misafara.
Ngoja na chubiri mgombania wa kijani kama anaenda menyewe?Ahahahahaha! Wajinga ndio waliwao. Kwanza kwa kwenda na kundi la watu hivyo, ameishapoteza sifa ya kuteuliwa na chama kama Mgombea. Maelekezo ni kutokwenda na misafara.
Kanisa kawakabidhi policcmSiku ya ibada anaenda ofisi ya siasa badala ya kutulia kusali hata nyumbani
Siasa ina upuuzi sanaSi angeenda ibadani tu?
Just imagine Tanzania nchi ya amani ila rahisi misafara yake magari kama 10 ulinzi,.walinzi wa Nini Kwa rais na nchi hii number Moja Kwa amani duniani??Walinzi 100 anamuogopa nani wakati analindwa na Mungu
Anawatengeneza watu waingie kwenye mfumo, wacheze ngoma yakeHaijulikani anaoigania Gwajima inasikitisha Sana .
Mradi wake wa kanisa umepigwa pin , na katika siasa mambo sio mambo.
Inafikirisha
Huyo lajima aende na walinji. Aende peke yake mumunyakue! Mweeeeh!Ngoja na chubiri mgombania wa kijani kama anaenda menyewe?
WalinZi 30+😀😀😀Askofu Josephat Gwajima akiwa na walinzi wake aenda kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya WanaCCM kumteua tena kugombea ubunge wa jimbo la Kawe.
View attachment 3388254
Huyu jamaa atakuwa anawakera sanaAskofu Josephat Gwajima akiwa na walinzi wake aenda kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya WanaCCM kumteua tena kugombea ubunge wa jimbo la Kawe.
View attachment 3388254