DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Na ukitaka kujua kuwa hao watu they are very selfish jaribu Kuwatazama hao viongozi wa dini.Kuna kijikanisa klififunguliwa mtaanni hapa ..ni makelele matupu, ndani ya miezi 2 , mhubiri ana cruiser zx mpya ..
Hauwezi kuwakuta labda wamefanikiwa then wakaamua Ku give back to community
Kama kujenga Shule , hosptali n.k hela zao ambazo hazikatwi kodi wanaenda kujenga hotel na Kununua Magari ya kifahari.