Askofu Gwajima achukua fomu ya ubunge Jimbo la Kawe, asindikizwa na walinzi wake

Askofu Gwajima achukua fomu ya ubunge Jimbo la Kawe, asindikizwa na walinzi wake

Status
Not open for further replies.
Tunaambiwa Yesu anatosha, walinzi wa nini? Wale mitume wa Yesu ndio waliokuwa walinzi wa Yesu? Wengi wao walikuwa malofa waliokotwa tu, hawangeweza kazi ya ulinzi.
 
Kuna taratibu na kuna roho mbaya, wewe kinachokusumbua ni roho mbaya

Kushindwa keako kusema sheria ipi inayozuwia hicho, ni kiashiria tosha cha wewe kuwa na roho mbaya isiyo na maana yoyote

Jitahidi na wewe ukachukue fomu na uache roho mbaya, bado unanafasi ya kufanya makubwa bila roho hizi za ajabu ajabu
Ungelikuwa mfuatiliaji wa habari wala hili sio jambo geni. Ujinga wako wa kufikiri unajua kumbe unajiaibisha haunihusu!
 
Ni bora mpumbavu mkristo mara 1000 kuliko muislamu asiye mpumbavu kwa sababu upumbavu wa mkristo una akili kuliko akili za muislamu..Tanzania tunakwamishwa kiuchumi na waislamu
...
 
Attachments

  • FB_IMG_1742812769356.jpg
    FB_IMG_1742812769356.jpg
    34.4 KB · Views: 12
  • IMG_20250623_153210_342.jpg
    IMG_20250623_153210_342.jpg
    38.1 KB · Views: 10
Ungelikuwa mfuatiliaji wa habari wala hili sio jambo geni. Ujinga wako wa kufikiri unajua kumbe unajiaibisha haunihusu!
2000 generations you have dirty language you will think your birthdays were not fulfilled

Potezea kama huwezi kuwa na lugharafiki kinywani mwako
 
Ahahahahaha! Wajinga ndio waliwao. Kwanza kwa kwenda na kundi la watu hivyo, ameishapoteza sifa ya kuteuliwa na chama kama Mgombea. Maelekezo ni kutokwenda na misafara.
Huo ni msafara ama wafanyakazi wake ?
Msafara ni kwenda na wapambe mashabiki na wakereketwa ...
 
Huo ni msafara ama wafanyakazi wake ?
Msafara ni kwenda na wapambe mashabiki na wakereketwa ...
Hapo itategemea na kanuni na taratibu za CCM kuchukua fomu zilikuwa zinasemaje ziliposema misafara ya kwenda kuchukua fomu hairuhusiwi. Na hiyo sio kazi yangu kuifafanua.
 
Ahahahahaha! Wajinga ndio waliwao. Kwanza kwa kwenda na kundi la watu hivyo, ameishapoteza sifa ya kuteuliwa na chama kama Mgombea. Maelekezo ni kutokwenda na misafara.
Katiba kwanza ,kasome nyie uvccm tabutupu ,swla la kujilinda binafsi haliingiliwi na mtu wala chama ...uwezowako
 
Ahahahahaha! Wajinga ndio waliwao. Kwanza kwa kwenda na kundi la watu hivyo, ameishapoteza sifa ya kuteuliwa na chama kama Mgombea. Maelekezo ni kutokwenda na misafara.
Hivi kwa akili yako ya chekechea unadhani Gwajima hajui hata aende na kuimba "nambari wani eee" hateuliwi? Hizo ni mbwembwe zake tuu. Na anaonyesha kuwa ili umfikie karibu utakutana na kundi la walinzi makomandoo mpigike na kumwaga kinyesi toka kwenye mavitambi yenu!
Chezea Gwajima wewe!
 
Unaitia huruma kweli. Kama ana walinzi mbona halindi makanisa yake? PUMBAVU!
 
Ahahahahaha! Wajinga ndio waliwao. Kwanza kwa kwenda na kundi la watu hivyo, ameishapoteza sifa ya kuteuliwa na chama kama Mgombea. Maelekezo ni kutokwenda na misafara.
Mi naona hao siyo watu wa kawaida, probably Dkt Samia anachezewa game ila atakuja kustuka keshachelewa, hai siyo watu wa kawaida alioambatana nao, yaani I wish nigekuwa Ikulu kama mshauri wa rais siasa, hakika Gwajiboy asingempa nafasi kwa kupiga virungu waumini wake
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom