Askofu Gwajima achukua fomu ya ubunge Jimbo la Kawe, asindikizwa na walinzi wake

Askofu Gwajima achukua fomu ya ubunge Jimbo la Kawe, asindikizwa na walinzi wake

Status
Not open for further replies.
Ma msapu Mamndenyi na kigagulaa Mshana Jr hilo game Dkt Samia kachezewa na wataka urais 2025, mi mpaka naogopa. Hivi inawezekana ukawa rais na ukawa fooled na mfumo hasa unapokuwa umejitengenezea wa kwako???? So sad.
 
Ni bora mpumbavu mkristo mara 1000 kuliko muislamu asiye mpumbavu kwa sababu upumbavu wa mkristo una akili kuliko akili za muislamu..Tanzania tunakwamishwa kiuchumi na waislamu
Pumbafffff zako. Wapigwe tu.
 
Hii sio mwaka huu cheki bangoo ilo

View attachment 3388549
Naona Nipashe ya leo 30 july 2025 nao wameandika itakuwa walicopy hii thread au vipi?

Screenshot_20250629-233734.png
 
Ahahahahaha! Wajinga ndio waliwao. Kwanza kwa kwenda na kundi la watu hivyo, ameishapoteza sifa ya kuteuliwa na chama kama Mgombea. Maelekezo ni kutokwenda na misafara.

INgekuwa ni hivyo basi na wanaopiga picha wanapochukua fomu wawe wamepoteza sifa..
 
Inaelezwa kuwa video ni ya zamani ila bado watu vichwa vigumu kuelewa na wakati iko wazi kabisa. Ndio ujue uchawa ni kama pepo.
 
Unaitia huruma kweli. Kama ana walinzi mbona halindi makanisa yake? PUMBAVU!
Ndio ujinga tunaousema huu siku zote. Hakuna kanisa la Gwajima mpumbavu we! Kanisa ni la kristo, yeye ndiye kalisajili tu maana kwa utaratibu Yesu hangeweza kuja kusajili!
Hata sijui kama umenielewa! Hivi watu wa aina yako humu " JF THE HOME OF GREAT THINKERS"?
Anyway, tutamshauri Max aanzishe jukwaa la watu aina yako kujivinjari.
 
Ahahahahaha! Wajinga ndio waliwao. Kwanza kwa kwenda na kundi la watu hivyo, ameishapoteza sifa ya kuteuliwa na chama kama Mgombea. Maelekezo ni kutokwenda na misafara.
Eeeh maana walishasema huko nyuma,mbwembwe hazitakiwi katika uchukuaji na urejeshaji wa form,atapigwa ban, subirini mtaona.
 
Askofu Josephat Gwajima akiwa na walinzi wake aenda kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya WanaCCM kumteua tena kugombea ubunge wa jimbo la Kawe.

View attachment 3388254
NO REFORMS NO ELECTION, Watanzania wanajua vyama vingine nje ya CHADEMA ni Mali ya CCM hivyo uchaguzi bila CHADEMA tafsiri yake ni kwamba CCM inasimama peke yake kwenye uchaguzi na kujipigia kura.NO REFORMS NO ELECTION Hesabu zetu tunazifungia hapo.
 
Ndio ujinga tunaousema huu siku zote. Hakuna kanisa la Gwajima mpumbavu we! Kanisa ni la kristo, yeye ndiye kalisajili tu maana kwa utaratibu Yesu hangeweza kuja kusajili!
Hata sijui kama umenielewa! Hivi watu wa aina yako humu " JF THE HOME OF GREAT THINKERS"?
Anyway, tutamshauri Max aanzishe jukwaa la watu aina yako kujivinjari.
Kanisa la Yesu Kristu ni moja tu nalo ni Kanisa Moja Katoliki la Mitume na Mtume Petro ndio Papa wa Kwanza kwa maana kwake ndipo Yesu Kristu alipojenga msingi wa Kanisa lake.
 
Kanisa la Yesu Kristu ni moja tu nalo ni Kanisa Moja Katoliki la Mitume na Mtume Petro ndio Papa wa Kwanza kwa maana kwake ndipo Yesu Kristu alipojenga msingi wa Kanisa lake.
Huna tofauti na Babalevo wewe!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom