Askofu Gwajima achukua fomu ya ubunge Jimbo la Kawe, asindikizwa na walinzi wake

Askofu Gwajima achukua fomu ya ubunge Jimbo la Kawe, asindikizwa na walinzi wake

Status
Not open for further replies.
WalinZi 30+😀😀😀
Usikute sisi tunaona ni walinzi "watu" kumbe ni malaika wa jeshi kutoka
juu! Waje wale wala rushwa na vitambi vyao na virungu wajikute wanakula judo kutoka juu za kufa mtu! he he!
 
Ni bora mpumbavu mkristo mara 1000 kuliko muislamu asiye mpumbavu kwa sababu upumbavu wa mkristo una akili kuliko akili za muislamu..Tanzania tunakwamishwa kiuchumi na waislamu
Umeshikwa akili ukashikika...
 
Ahahahahaha! Wajinga ndio waliwao. Kwanza kwa kwenda na kundi la watu hivyo, ameishapoteza sifa ya kuteuliwa na chama kama Mgombea. Maelekezo ni kutokwenda na misafara.
Embu fafanua vizuri mkuu, kuna sheria inataka hiki ulichoandika au ni roho mbaya kwa waliofanikiwa?

Kama ni sheria kwa nini aruhusiwe aingie mpaka ofisini mkuu
 
Anasubiri wale watakaoshiriki kukata jina lake awaunganishe wote na boss wake...awashitakie kwa Mungu. Wapigwe wote...kuanzia aliyetoa amri ya kufunga huduma ya Mungu, na wote walioshiriki kukata jina lake akitia Nia. Mzanzibar awaaminishe wa'bara kwamba m'bara huyu hafai kwelii?... Hadi aseme m'bara ndipo tutaamini
 
Huyo Shetani wewe ulishawahi kumuona? Hilo swali kamuulize bosi wako anayefufua wafu.
MUDI BOY ALIMUONA WAKAPIGA STORI NA KUMSILIMISHA NA SHETANI IBILISI KUWA RASMI SWAHABA WA MUHAMMAD ILA SIJUI SASA SETANI IBILISI NI DINI GANI BAADA YA KUSILIMISWA NDIYO NATAKA JIBU?
 
MUDI BOY ALIMUONA WAKAPIGA STORI NA KUMSILIMISHA NA SHETANI IBILISI KUWA RASMI SWAHABA WA MUHAMMAD ILA SIJUI SASA SETANI IBILISI NI DINI GANI BAADA YA KUSILIMISWA NATAKA JIBU
Ndio maana hua mnaitwa Kondoo,yani wewe Binti ujengaji wako wa hoja unaonekana kabisa kua Upstairs hauko sawa,

Chuki zako kwenye imani za wengine haziwezi kukuletea mume,jitulize tu huenda ukaposwa hivi karibuni.
 
Walinzi 100 anamuogopa nani wakati analindwa na Mungu
1. Hujui tu. Lakini bahati mbaya kuwa hujui kuwa hujui...

2. Yesu Kristo (ambaye ni Mungu mwenyewe) alikuwa akitembea na majamaa 12 yamemzunguka, unadhani alikuwa anaogopa nini kwa fikra zako..?

3. Hao si walinzi wake. Hao ni wachungaji na watumishi wenzake ktk ufalme wa mwanakondoo - Yesu Kristo - Mungu muumba wa mbingu na nchi, mfalme wa wafalme, mungu wa miungu na Bwana wa mabwana...!

Imekuingia hiyo au bado unahitaji elimu zaidi..?
 
Hakuna kitu kinafanyika bila kanuni na taratibu kuwekwa.
Kuna taratibu na kuna roho mbaya, wewe kinachokusumbua ni roho mbaya

Kushindwa keako kusema sheria ipi inayozuwia hicho, ni kiashiria tosha cha wewe kuwa na roho mbaya isiyo na maana yoyote

Jitahidi na wewe ukachukue fomu na uache roho mbaya, bado unanafasi ya kufanya makubwa bila roho hizi za ajabu ajabu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom