The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Ahahahahaha! Wajinga ndio waliwao. Kwanza kwa kwenda na kundi la watu hivyo, ameishapoteza sifa ya kuteuliwa na chama kama Mgombea. Maelekezo ni kutokwenda na misafara.Walinzi 100 anamuogopa nani wakati analindwa na Mungu
Ibadani amewaacha polisi waendeshe ibada kanisani kwake na kusali,ilhali yeye anaenda kuchukua fomu bila bugdha ya policiccmSi angeenda ibadani tu?
huo ni ulinzi wa kimwili mjubaWalinzi 100 anamuogopa nani wakati analindwa na Mungu
Wazee wa NRNE wanasemaje?Askofu Josephat Gwajima akiwa na walinzi wake aenda kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya WanaCCM kumteua tena kugombea ubunge wa jimbo la Kawe.
View attachment 3388254
Kwa kuwa unalindwa na Mungu halafu njia unayopita unakutana na koboko, utalazimisha kupita kwakuwa unalindwa na Mungu?Walinzi 100 anamuogopa nani wakati analindwa na Mungu
Mama Yenu wakati anachukua Fomu ya uRais,hakuwa na Walinzi?.Ahahahahaha! Wajinga ndio waliwao. Kwanza kwa kwenda na kundi la watu hivyo, ameishapoteza sifa ya kuteuliwa na chama kama Mgombea. Maelekezo ni kutokwenda na misafara.
Ni bora mpumbavu mkristo mara 1000 kuliko muislamu asiye mpumbavu kwa sababu upumbavu wa mkristo una akili kuliko akili za muislamu..Tanzania tunakwamishwa kiuchumi na waislamuTamaa zinamsumbua , angeendelea kupiga hela za wajinga Kama Mwamposa .
Maana anachokipigania hapa duniani hakionekani is useless guy
kwani yeye halindwi na mungu, upako kapeleka wapiAskofu Josephat Gwajima akiwa na walinzi wake aenda kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya WanaCCM kumteua tena kugombea ubunge wa jimbo la Kawe.
View attachment 3388254
Dini ni mradi wa watu haijalishi ni Christian or Muslim .Ni bora mpumbavu mkristo mara 1000kuliko muislamu asiye mpumbavu kwa sababu upumbavu wa mkrosto un akili kuliko akili za muislamu..Tanzania tunakwamishwa kiuchumi na waislamu