Watakuwa wajadili kwa kirefu namna hizi taasis mbili zitakavyoshirikiana kuhakikisha amani ya Tanzania inaendelea kutunzwaLeo Tarehe 21 June 2025 nimepata nafasi ya kumtembelea na kumjulia hali Padre Dr Charles Kitima, Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC). Namshukuru Mungu afya yake imeendelea kuimarika.
View attachment 3378057