Katoliki wanaunga mkono watu kutekwa na kuuliwa?Anatafuta huruma,halafu Catholic awawezi muunga mkono
Ilishindwa kujua kigogo ni nani, cha ajabu kipi sasa kushindwa kujua gwajima alipo.....inawezekana kabisaIvi kwa akili za kawaida kabisa watanzania wanaamini system haijui Gwajima alipo🤣🤣🤣
Ningeamini kama yule kada aliyemtishia maisha Fr Kitima angekamatwa.TUKIO LA FR KITIMA HALINA UHUSIANO NA SERIKALI, ILA LA ASKOFU LINAO. TUKIO LA FR KITIMA NI SAWA NA LILE LILILOWAHI KUMPATA TL. MATUKIO MAWILI YOTE HAYA YAMERATIBIWA NA WATU MAADUI WA SERIKALI
Askofu wa michongo.Mbunge wa Kawe Askofu Gwajima amemtembelea katibu mkuu wa TEC Padre Kitima na kusema anaendelea vizuri
Askofu Gwajima ameandika ukurasani Instagram
Mlale unono 😁🇹🇿
Gwajima kakonda ghafla ujuaji haulipiAmepungua kweli.
Na unadhani hivyo ni nani angeishake regime Kwa kipindi kile??Ilishindwa kujua kigogo ni nani, cha ajabu kipi sasa kushindwa kujua gwajima alipo.....inawezekana kabisa
Mzee Pascal Mayalla ume like hiyi picha kwa uchungu Sana....kale Ka Kura Kako kamoja mama anaweza kufanya tengua teua ..na paah ukapita kiti malumu bila kupingwa Kawe.Leo Tarehe 21 June 2025 nimepata nafasi ya kumtembelea na kumjulia hali Padre Dr Charles Kitima, Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC). Namshukuru Mungu afya yake imeendelea kuimarika.
View attachment 3378057
Nmekwambia walishindwa kumjua kigogo cha ajabu kipi kushindwa kujua alipo gwajima 😂😂😂Na unadhani hivyo
Gwajima adabu hana alimporomoshea Matusi Kardinali Pengo mteuliwa na PapaNi jambo jema, maana licha ya kuwa ni madhehebu mbalimbali, sote tunamini Yesu Kristo ni nafsi ya Mungu hai, na kwamba yeye ndiyo ufufuo na njia ya kwenda Mbinguni, na bila ya yeye huwezi kumfikia Mungu Baba.
Tena andiko jingine lasema kuwa yeye ambaye hayupo kinyume chetu, ni mwenzetu katika Kristo.
KWA kipindi kile Kigogo alipaswa kuwepo KWA ajili ya kuweka regime sawa kwa BAADHI ya mambo na SIO KWAMBA hakua anafahamikaNmekwambia walishindwa kumjua kigogo cha ajabu kipi kushindwa kujua alipo gwajima 😂😂😂