Askofu Gwajima aibukia kwa Padre Kitima kumjulia hali. Wapiga picha pamoja

Ningeamini kama yule kada aliyemtishia maisha Fr Kitima angekamatwa.
UKISIKIA KISHINDO KARIAKOO, ANGALIA KUANZIA CHALINZE KUELEKEA MOROGORO, USIANGALIE KARIAKOO PENYEWE. KISHINDO KINAKUWA KMIEELEKEZWA TU KARIAKOO KWA NIA YA KUKUCHANGANYA ILI UDHANI KUWA TUKIO LIKO HAPO, KUMBE LIKO MBALI SANA MAENEO YA MOROGORO AU CHALINZE
 
  • Thanks
Reactions: K11
Daaa...kazi sana....wanaomtafuta wameshìndwa kujua alipo.....
Huyo hajasajiliwa na msajili ila kanisa lake ndilo lililosajiliwa hakuna mwenye mpango naye

Msajili anashughulika tu na kanisa alilosajil lililokiuka masharti ya usajili kumpa Gwajima platform alitumie kwa siasa

Gwajima watajuana naye wenyewe waliompa madhabahu atumie kisiasa
Msajili kafuta taasisi huyo Gwajima warajuana naye wenyewe hayamhusu msajili
 
Mbona SDA hawajafungiwa wakati Juzi hapa mchungaji wao alikua anaongelea utekaji madhabahuni.
 
Back
Top Bottom