Askofu Gwajima aibukia kwa Padre Kitima kumjulia hali. Wapiga picha pamoja

Askofu Gwajima aibukia kwa Padre Kitima kumjulia hali. Wapiga picha pamoja

Mbona SDA hawajafungiwa wakati Juzi hapa mchungaji wao alikua anaongelea utekaji madhabahuni.
Ni kiongozi mkuu wa Sabato kama Gwajima? Ambaye ndie Askofu mkuu wa Kanisa la ufufuo na uzima na msemaji mkuu wa hilo kanisa?
 
Huyo hajasajiliwa na msajili ila kanisa lake ndilo lililosajiliwa hakuna mwenye mpango naye

Msajili anashughulika tu na kanisa alilosajil lililokiuka masharti ya usajili kumpa Gwajima platform alitumie kwa siasa

Gwajima watajuana naye wenyewe waliompa madhabahu atumie kisiasa
Msajili kafuta taasisi huyo Gwajima warajuana naye wenyewe hayamhusu msajili
Mnalipwa bei gani kutetea upumbavu.!? Kweli mwafrika ni nyani aliyechangamka..
 
TUKIO LA FR KITIMA HALINA UHUSIANO NA SERIKALI, ILA LA ASKOFU LINAO. TUKIO LA FR KITIMA NI SAWA NA LILE LILILOWAHI KUMPATA TL. MATUKIO MAWILI YOTE HAYA YAMERATIBIWA NA WATU MAADUI WA SERIKALI
Wewe ni CHAWA Kwa sasa akili yako imejazwa damu za kina Mzee Kibao huwezi kuelewa
 
Ni kiongozi mkuu wa Sabato kama Gwajima? Ambaye ndie Askofu mkuu wa Kanisa la ufufuo na uzima na msemaji mkuu wa hilo kanisa?
Shida ni nani kaongea au issue ni platform imetumikaje? Umesema kanisa la ufufuo limefungiwa kwa sababu lilitoa platform kwa Gwajima kukemea utekaji na kwamba Serikali haina muda na Gwajima, Sasa na Kanisa la SDA lilitoa platform kwa Mchungaji wao kuongelea utekaji kanisani, Its the same situation, why is the reaction different?
 
Mimi nimefurahi sana kazi Bwana inaenda Mbele Tanzania mpya yenye nguvu inakujaaaaaa
 
Back
Top Bottom