Umesahau alitangaza kufunga kwa ajili ya Tanzania na kuwaombea waliotekwa!! Ulitegemea anenepe!!!!Amepungua kweli.
Umesahau alitangaza kufunga kwa ajili ya Tanzania na kuwaombea waliotekwa!! Ulitegemea anenepe!!!!Amepungua kweli.
MAPONJORO YANAHAHA HUKO na MURILO UWA UWA anaweweseka.....viva ngwqjiLeo Tarehe 21 June 2025 nimepata nafasi ya kumtembelea na kumjulia hali Padre Dr Charles Kitima, Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC). Namshukuru Mungu afya yake imeendelea kuimarika.
View attachment 3378057
Atuchangamshe basi na ka press 😁
Kwani ni kina nani wanamtafutaHawajui wangejua wangeshamdaka
Stress tena kajitahidi Lissu kanenepaAmepungua kweli.
Gwajima adabu hana alimporomoshea Matusi Kardinali Pengo mteuliwa na Papa
Mzee wa watu wala hakumjibu akaachia tu muda kuwa time will tell
Na time ime telll kwe
Wako wapi hao maadui?TUKIO LA FR KITIMA HALINA UHUSIANO NA SERIKALI, ILA LA ASKOFU LINAO. TUKIO LA FR KITIMA NI SAWA NA LILE LILILOWAHI KUMPATA TL. MATUKIO MAWILI YOTE HAYA YAMERATIBIWA NA WATU MAADUI WA SERIKALI
Na kuliombea TaifaWatakuwa wajadili kwa kirefu namna hizi taasis mbili zitakavyoshirikiana kuhakikisha amani ya Tanzania inaendelea kutunzwa
Kama hawajui walipo Wasiojulikana hili linashindikanajeIvi kwa akili za kawaida kabisa watanzania wanaamini system haijui Gwajima alipo🤣🤣🤣
NRNESijui kama atalipwa hela zake za mafao🤣🤣
No reform No reform
Achana naye huyo.Nmekwambia walishindwa kumjua kigogo cha ajabu kipi kushindwa kujua alipo gwajima 😂😂😂
La mbinguni Mkono wa Kuume wa BwanaJasusi kama jasusi
Picha imetupiga Wana JF hadi wewe mkongwee 🤣🤣😁🤔Amepungua kweli.
Watekaji wote marufuku kukanyaga madhabahuni.Hii ni nzuri, itakua wamezungumza mambo mazuri sana kuhusu mustakabali wa taifa letu kwa kuonyesha mchango wao kama viongozi wa dini
JAmaa anajua sana kupiga hesabu. Kifupi ni jasusi. Shikamoo kanisa moja takatifu katoliki la mitume. johnthebaptist tistIla Gwajima mchokozi Sana😀😀😀