Askofu Gwajima aibukia kwa Padre Kitima kumjulia hali. Wapiga picha pamoja

Askofu Gwajima aibukia kwa Padre Kitima kumjulia hali. Wapiga picha pamoja

Leo Tarehe 21 June 2025 nimepata nafasi ya kumtembelea na kumjulia hali Padre Dr Charles Kitima, Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC). Namshukuru Mungu afya yake imeendelea kuimarika.
Tatizo lake hatabiriki
 
Mkatoliki hana kisasi labda kama hujui msingi ya kikatoliki samehe saba mara 70?ndo msingi wa dini ya kitoliki Aliyempiga papa Paul wa 11 waliwambia serikali imteme yeye ameshatoa msamaha
Unaota alitakiwa kwenda kuomba msamaha kwa Kardinali Pengo

Pengo sio Papa na hajawahi kuwa Papa unamkosea kardinali halafu unaenda kuomba msamaha kwa. padre kitima ambaye hata uaskofu anausikia kwenye radio

Gwajima alivyoligema atalinywa
Akiambiwa katiba inatoa uhuru wa kuabudu sio siasa au kuporomoshea matusi viongozi wa dini zingine ndio ataelewa kuabudu maana yake nini
 
Leo Tarehe 21 June 2025 nimepata nafasi ya kumtembelea na kumjulia hali Padre Dr Charles Kitima, Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC). Namshukuru Mungu afya yake imeendelea kuimarika.

View attachment 3378057
hajaenda kumtembelea yule aliemuita sijui amekula maharage ya wap? Yaani cardinal pengo?🐒
 

Attachments

  • VID-20250606-WA0019.mp4
    5.4 MB
Ndiyo maana Kanisa Katoliki limesema halitaki wanasiasa waongee Kanisani,kwa sababu Askofu Gwajima akiongea maneno yake ya uchochezi atasababisha watu wote wafungwe.
 
Nadhani zile video mauaji pia zimekabidhiwa, ndiyo maana waraka ukatoka kwa kuzuia wauaji/chinjachinja, wasikanyage madhabahuni
 
Back
Top Bottom