Uzuri jinai haina ukomo.UKISIKIA KISHINDO KARIAKOO, ANGALIA KUANZIA CHALINZE KUELEKEA MOROGORO, USIANGALIE KARIAKOO PENYEWE. KISHINDO KINAKUWA KMIEELEKEZWA TU KARIAKOO KWA NIA YA KUKUCHANGANYA ILI UDHANI KUWA TUKIO LIKO HAPO, KUMBE LIKO MBALI SANA MAENEO YA MOROGORO AU CHALINZE
Mafungo na maombi si masiharaAmepungua kweli.
Wrwee wasemaaaKwani Gwajima anatafutwa 😅😅
MfungoAmepungua kweli.
Atuchangamshe basi na ka press 😁Itakua alikua kwenye mfungo
Amepungua kweli.
Lieni na WanaoliaLeo Tarehe 21 June 2025 nimepata nafasi ya kumtembelea na kumjulia hali Padre Dr Charles Kitima, Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC). Namshukuru Mungu afya yake imeendelea kuimarika.
View attachment 3378057
Acha kuwapa umaarufu hao wapuuzi
Ungekuwa na akili japo kidogo ungeelewa kuwa pale ameenda kumjulia hali Fr Kitima aliyenusurika kifo na sio huo upuuzi uliojaa kichwani mwako, uchawa umeshindwa kukufanya uone Gwajima hana makosa kwa kaulizi zake za kupinga utekajiGwajima kakonda ghafla ujuaji haulipi
Na baraza la Maaskofu TEC limetoa waraka mwanasiasa yeyote akiwemo Gwajima mbunge hatakiwi kupewa nafasi kuongea kanisani
Gwajima mjinga anafikiri atapata huruma ya wakatoliki atapataje wakati alimtukana Kardinali Pengo mteuliwa na Papa? Anamfuata Padre Kitima akili hana alitakiwa aombe kuonana na Kardinali Pengo amuombe msamaha
Kitima atamsaidia nini? Kitima ni mtu mdogo mno ni nothing kwenye Katoliki nchi hii
Angetaka kuonana na Kardinali Pengo
Msando si alisema amekimbia, hukuona hiyo clip ya majigambo ya mh dcKuna watu wanaomtafuta? Si kanisa ndio limefungiwa, au na yeye ana kesi ya kujibu?
Kwahiyo maadui wa serikali ndio wanateka na kuua raia siku hizi?TUKIO LA FR KITIMA HALINA UHUSIANO NA SERIKALI, ILA LA ASKOFU LINAO. TUKIO LA FR KITIMA NI SAWA NA LILE LILILOWAHI KUMPATA TL. MATUKIO MAWILI YOTE HAYA YAMERATIBIWA NA WATU MAADUI WA SERIKALI
Hawajui wangejua wangeshamdakaIvi kwa akili za kawaida kabisa watanzania wanaamini system haijui Gwajima alipo🤣🤣🤣
Niambie ma mtuAmepungua kweli.
Kesho polisi watakua kwa kitima uzuri wakigusa roman tunajaaLeo Tarehe 21 June 2025 nimepata nafasi ya kumtembelea na kumjulia hali Padre Dr Charles Kitima, Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC). Namshukuru Mungu afya yake imeendelea kuimarika.
View attachment 3378057