Askofu Gwajima aibukia kwa Padre Kitima kumjulia hali. Wapiga picha pamoja

Askofu Gwajima aibukia kwa Padre Kitima kumjulia hali. Wapiga picha pamoja

Viongozi waandamizi wa chadomo waliovaa koti la dini.
Huyu ni kiongozi mwandamizi wa wapi aliyejificha kwenye dini? Nyani haoni kundule, sivyo?
Mufti.jpg
 
Jasusi la mbinguni hilo. Hivi huyu hakuna arrest warrant yake . Gwaji kama gwaji. Heche nae alikuwa karibu.hapo kanisa la wasabato bila shaka walisalimiana.
 
Wanataka kujiunga na katoliki hawa.
Wasiogope wakaze hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom