Watakuwa wajadili kwa kirefu namna hizi taasis mbili zitakavyoshirikiana kuhakikisha amani ya Tanzania inaendelea kutunzwaLeo Tarehe 21 June 2025 nimepata nafasi ya kumtembelea na kumjulia hali Padre Dr Charles Kitima, Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC). Namshukuru Mungu afya yake imeendelea kuimarika.
View attachment 3378057
Viongozi waandamizi wa chadomo waliovaa koti la dini.Leo Tarehe 21 June 2025 nimepata nafasi ya kumtembelea na kumjulia hali Padre Dr Charles Kitima, Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC). Namshukuru Mungu afya yake imeendelea kuimarika.
View attachment 3378057
Leo mchanaLini hii,?
Inapendeza.Viongozi waandamizi wa chadomo walivaa koti la dini.
ProveHii ni AI photo.
Amepungua kweli.
Kapungua sana sijui anaweza Nini na pesa ipo
Yeye ni binadamu kama sisi, hivyo mtu yeyote akipata misukosuko ya ghafla halafu ina nia ovu sana juu yake, kuna namna lazima ata-loose kila angle!Askofu kakata weight alafu kawa mrefu
Labda hajui kusomaSi imeandikwa kabisa ni tarehe 21 June 2025
TUKIO LA FR KITIMA HALINA UHUSIANO NA SERIKALI, ILA LA ASKOFU LINAO. TUKIO LA FR KITIMA NI SAWA NA LILE LILILOWAHI KUMPATA TL. MATUKIO MAWILI YOTE HAYA YAMERATIBIWA NA WATU MAADUI WA SERIKALILeo Tarehe 21 June 2025 nimepata nafasi ya kumtembelea na kumjulia hali Padre Dr Charles Kitima, Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC). Namshukuru Mungu afya yake imeendelea kuimarika.
View attachment 3378057