Askofu Gwajima aibukia kwa Padre Kitima kumjulia hali. Wapiga picha pamoja

Jasusi la mbinguni hilo. Hivi huyu hakuna arrest warrant yake . Gwaji kama gwaji. Heche nae alikuwa karibu.hapo kanisa la wasabato bila shaka walisalimiana.
 
Wanataka kujiunga na katoliki hawa.
Wasiogope wakaze hivyo hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…