GE2025 Askofu Gwajima amezungumza na vyombo vya habari ameendelea kupinga utekaji na kusisitiza umuhimu wa Reforms

GE2025 Askofu Gwajima amezungumza na vyombo vya habari ameendelea kupinga utekaji na kusisitiza umuhimu wa Reforms

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Wakuu,
Kupitia ukurasa wake wa instagram Askofu Gwajima ameandika kuzungumza na vyombo vya habari leo Julai 16, 2025 saa saba mchana

Je leo atatoa povu gani kwa umma?

1752650721687.png




gwajimaaa.png


1752651031867.png


1752656505424.png



View: https://www.youtube.com/live/jINnZ9eLnwE?
si=gFkBJUPxNlpuD-gR

​

Ni muhimu sana wakuu wa vyombo vya dola wawe na uhimara, uimara niliosema ni huu, tuna Jeshi la wananchi TPDF, Jeshi la Polisi Jeshi la Magereza , Uhamiaji na idara ya usalama wa Taifa, nikasema kwamba hawa ndiyo wenye dhamana ya kutulindia taifa letu inatakiwa tuwalinde kwanza wao ili wao waweze kutulindia taifa letu, mambo mengi watu wanayozungumza kuhusu taifa letu wanaongea by product results of the problem, they are not real the problem

Soma pia
PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!



​
 
1000024675.jpg
Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima na Mbunge wa Kawe (CCM), Dkt. Josephat Gwajima kupitia Ukurasa wake wa Instagram ametoa taarifa kuwa atazungumza na Vyombo vya Habari leo Julai 16, 2025.

Ikumbukwe Gwajima amekuwa kwenye mvutano na Serikali ya CCM tangu alipotoa waraka wa kukemea matukio ya Utekaji na Mauaji ya Watu yanayoendelea nchini.

Swali ni lile lile, Mapolisi wa CCM wataruhusu hiyo press?
 
Upendo ni kwa ajili ya amani tu na kuitakia mema nchi yetu na viongozi wetu wote na serikali yake yote!
 
Back
Top Bottom