GE2025 Askofu Gwajima amezungumza na vyombo vya habari ameendelea kupinga utekaji na kusisitiza umuhimu wa Reforms

GE2025 Askofu Gwajima amezungumza na vyombo vya habari ameendelea kupinga utekaji na kusisitiza umuhimu wa Reforms

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
CCM watalazimisha uchaguzi kufanyika na utafanyika na watashinda. Je mtawala atatawala kweli au atakuwa kivuli.

Waliokuwepo uchaguzi wa 2020 waliona yaliyompata mwenda zake mpaka akajificha Chato mwisho wa siku akajiondokea zake taratibu.

Watu wakala mambuzi wakashinda mabaa wanasherekea.

Ushauri ridini kwa watanzania mfanye uchaguzi wa haki na amani ili kiongozi apange na aletee maendeleo ya kweli bila kulaumiana.
CHADEMA kutoshiriki uchaguzi ni haki yao. CHAUMMA,ACT-Wazalendo.CUF ne takribani vyama 18 vinashiriki ako kakikundi kenu ata kakisema kajiondoa kwenye Siasa maisha yataendelea tu
 
CCM watalazimisha uchaguzi kufanyika na utafanyika na watashinda. Je mtawala atatawala kweli au atakuwa kivuli.

Waliokuwepo uchaguzi wa 2020 waliona yaliyompata mwenda zake mpaka akajificha Chato mwisho wa siku akajiondokea zake taratibu.

Watu wakala mambuzi wakashinda mabaa wanasherekea.

Ushauri ridini kwa watanzania mfanye uchaguzi wa haki na amani ili kiongozi apange na aletee maendeleo ya kweli bila kulaumiana.
Hahahah....
 
Wakuu,
Kupitia ukurasa wake wa instagram Askofu Gwajima ameandika kuzungumza na vyombo vya habari leo Julai 16, 2025 saa saba mchana

Je leo atatoa povu gani kwa umma?

View attachment 3407750



View attachment 3407762

View attachment 3407764

View attachment 3407858


View: https://www.youtube.com/live/jINnZ9eLnwE?
si=gFkBJUPxNlpuD-gR


Ni muhimu sana wakuu wa vyombo vya dola wawe na uhimara, uimara niliosema ni huu, tuna Jeshi la wananchi TPDF, Jeshi la Polisi Jeshi la Magereza , Uhamiaji na idara ya usalama wa Taifa, nikasema kwamba hawa ndiyo wenye dhamana ya kutulindia taifa letu inatakiwa tuwalinde kwanza wao ili wao waweze kutulindia taifa letu, mambo mengi watu wanayozungumza kuhusu taifa letu wanaongea by product results of the problem, they are not real the problem

View attachment 3407971

​

Katumwa
 
Usikute amesha nitungia jina jingine. We Gwajima wewe si utulie tu? Ukinitungia jina baya nakusemea kwa mama yetu kipenzi. Halafu tafadhali usimtolee mifano mibaya kaka Abdul, mama samia anauchungu sana na mwanaye huyu wa pekee kwa taifa letu.
Hivi wa kiume yupo Abdul pekee au?
 
GWAJIMA KAMA ANASOMA HAPA BADO HAJAJUA NILIMUAMBIA JINA LA MUNGU JIPYA NI OLUMBA OLUMBA OBU KABIDHI VITU VYOTE KWAKE HATA SHINDWA KITU NDIYE YESU ALIYERUDI ....
🔴🔴🔴
IF YOU TRUST IN OLUMBA OLUMBA OBU. HE WILL NEVER FAIL YOU.
Pumbavu
 
Usikute amesha nitungia jina jingine. We Gwajima wewe si utulie tu? Ukinitungia jina baya nakusemea kwa mama yetu kipenzi. Halafu tafadhali usimtolee mifano mibaya kaka Abdul, mama samia anauchungu sana na mwanaye huyu wa pekee kwa taifa letu.
Na siku akiRip sijui patakuwaje huko Instagram na Facebook🤔
 
Back
Top Bottom