Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 11,612
- 16,189
Tuliyataka wenyewr kwa mihemuko yetu. Hivi kama kichaa Lisu tungemuacha aropoke tu halafu Gwajiboy tungemjibu kwa kumfukuza kwenye nafasi ya IGP na Waziri wa mambo ya ndani tukala kichwa na kuanzisha uchunguzi haya mambo yangekuwepo???????????Mambo yako faya sana. Ujue CCM wako muda mbaya sana ukizingatia kuna watu wamekatwa kama Ummy,Mpina na issue ya Polepole. Kusema kweli kila kona moto kweli kweli