GE2025 Askofu Gwajima amezungumza na vyombo vya habari ameendelea kupinga utekaji na kusisitiza umuhimu wa Reforms

GE2025 Askofu Gwajima amezungumza na vyombo vya habari ameendelea kupinga utekaji na kusisitiza umuhimu wa Reforms

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tukutane saa saba Kamili. Full Updates sitakuijia
natabiri, wameomba poo, issue ya kufunga makanisa, atakuja kuomba radhi na kuomba kanisa lake lifunguliwe. waziri atabatilisha. hata kwa hilo tunamshukuru Mungu, sisi hatuna shida na serikali yenu, tunataka haki ya kuabudu kama madhehebu mengine na kama dini zingine zinavyoabudu na kuswali. na pia tuna haki kukosoa kibaya na kuhubiri haki, na jueni sisi pia ni watanzania, watanganyika, sio wakimbiizi.
 
Huwezi kukuta Askofu wa RC amejiingiza kwenye hayo mambo.
nadhani wewe haupo Tanzania. wale maaskofu wa RC nchi nzima waliokemea utekaji na uuaji, na wengien wamelalamika kufuatiliwa na magari, hujawasikia? pengo hajawahiingilia siasa? kitima sio askofu ila ni mtu mkubwa RC hadi amevamiwa na wasiojulikana na kutwangwa kichwani. wewe ni mjinga sana.
 
Huna akili, shenzi type. Kuna askofu wa kikatoliki umewahi kumsikia amegombea ubunge ?
Usiwe unakurupuka kama headless chicken, mtoto mdogo usiye na adabu.
 
Back
Top Bottom