Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Safi sn tusikie mambo mazuri
CCM limebaki kundi la majangili tupuMambo yako faya sana. Ujue CCM wako muda mbaya sana ukizingatia kuna watu wamekatwa kama Ummy,Mpina na issue ya Polepole. Kusema kweli kila kona moto kweli kweli
Kama huna shimo la kutorokea (ukimbizi ulaya) usibwatuke ya ndani ya CCM. Chochote kinakuhusu. They are more than serious, when it comes to the election issues.Mambo yako faya sana. Ujue CCM wako muda mbaya sana ukizingatia kuna watu wamekatwa kama Ummy,Mpina na issue ya Polepole. Kusema kweli kila kona moto kweli kweli
Anaweza kurekodi na akairusha kwa waandishi wa habari na vyomo mbalimbali. Hakuna namna watu utwazuia kuongea. Am here working and waiting the Gwajima Press.Muda sio mrefu litatoka AGIZO
Hakuna press conference bila kibali 😂
Huyo sio kama Masheikh Ubwabwa ambao shule hawana. Naomba utulie usubirie wanaume wanaongea.Hivi hicho cheo cha uaskofu alipewa na nani
Au aliamua kujiita mwenyewe
Na hajasema inafanyikia wapi 😃 asije akawa anakuja kutubu tu atanichefua.Muda sio mrefu litatoka AGIZO
Hakuna press conference bila kibali 😂
Sahau Gwajima humjui wewe yuko tayari kwa lolote na unamuona hapo anabweka unajua yuko mwenyewe. Kwanza yuko na Mungu wake kwa imani yake, pili yuko na Watanzani na yuko na watu wengi ndani ya Chama cha Mapinduzi.Huyu keshatepeta,possibly ni kuomba yaishe.
Yeyote kama huna ujasiri na kujitoa mhanga kama Lissu, usithubutu kutoa ya Siri na ya ndani ya ama serikali au CCM. Watakuuwa na hawatanii. Ikumbukwe sheria ya usalama wa taifa iliyopitishwa Bungeni miaka kama mitatu iliyopita inawaruhusu kufanya lolote bila kushitakiwa. Wanaweza kukupuuza tu. Ila wakiamua wanakumaliza na mtaishia kulalamika kama Ally Kibao, Ben Saanane na wengineo, na mwisho kimya. Hii nchi mpaka mambo yaharibike kabisa raia wote wachoke au jeshi lifanye ya Traore.Muda sio mrefu litatoka AGIZO
Hakuna press conference bila kibali 😂
Sasa mpendwa mashekhe hapa wameingia je swali nililouliza na ulicho jibu tofautiHuyo sio kama Masheikh Ubwabwa ambao shule hawana. Naomba utulie usubirie wanaume wanaongea.
Sasa ummy au mpina au polepole wanna impact Gani? RubbishMambo yako faya sana. Ujue CCM wako muda mbaya sana ukizingatia kuna watu wamekatwa kama Ummy,Mpina na issue ya Polepole. Kusema kweli kila kona moto kweli kweli
Ok tusubiri tuone,tusiandikie mate.Sahau Gwajima humjui wewe yuko tayari kwa lolote na unamuona hapo anabweka unajua yuko mwenyewe. Kwanza yuko na Mungu wake kwa imani yake, pili yuko na Watanzani na yuko na watu wengi ndani ya Chama cha Mapinduzi.
Wacha wauane tu 😂Mwaka huu Watauana sana
Amka.Huyu keshatepeta,possibly ni kuomba yaishe,kama aliyekuwa Mh kipaza sauti.