Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Leo Gwajima kesho Polepole.
na baadae tutatengeneza chama imara sio CCM ya mtu bali ya wakulima na wafanyakazimpaka huu mwaka uishe ccm watakuwa wamepelekeana moto sio mch
wakifanya hivyo watakosea sana.Mtaifa ya magharibi siyo watu wazuri sana.nawasihii CCM tusifanye hivyo.Watamdaka hawa watu unless atawalamba miguu.
Asituangushe huyuWakuu,
Kupitia ukurasa wake wa instagram Askofu Gwajima ameandika kuzungumza na vyombo vya habari leo Julai 16, 2025 saa saba mchana
Je leo atatoa povu gani kwa umma?
Seat ya mbele na popcorn zangu🪑🪑🍿🍿View attachment 3407756
Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima na Mbunge wa Kawe (CCM), Dkt. Josephat Gwajima kupitia Ukurasa wake wa Instagram ametoa taarifa kuwa atazungumza na Vyombo vya Habari leo Julai 16, 2025.
Ikumbukwe Gwajima amekuwa kwenye mvutano na Serikali ya CCM tangu alipotoa waraka wa kukemea matukio ya Utekaji na Mauaji ya Watu yanayoendelea nchini.
Swali ni lile lile, Mapolisi wa CCM wataruhusu hiyo press?
ulitaka apewe na nani? na papa?Hivi hicho cheo cha uaskofu alipewa na nani
Au aliamua kujiita mwenyewe
Mlimani kama bb samia na jakayaDoctorate ameipatia wapi ?
Jibu swali acha kukurupuka swali juu ya swali uliona wapiulitaka apewe na nani? na papa?
alipewa na waumini wake. ulitaka apewe na papa? au nani kwa imani yako ulivyofunzwa huwa anatoa uaskofu?Jibu swali acha kukurupuka swali juu ya swali uliona wapi
Zimbabwe Mixxed! Sasa unaweza kutuma pesa kwa haraka na usalama mpaka Zimbabwe. Piga *150*01#, alafu 4 nje ya nchi na utume sasa au tumia? Mixx Super App.Mlimani kama bb samia na jakaya
Walitumia vigezo gani kumpa hicho cheo cha uaskofualipewa na waumini wake. ulitaka apewe na papa? au nani kwa imani yako ulivyofunzwa huwa anatoa uaskofu?
Uwezo wako unaishia hapo? Haya nenda kabet sasa ukimaliza ukacheze karata na draft chakula kikiwa tayar utaitwa under ukale kwa shemeji sawaZimbabwe Mixxed! Sasa unaweza kutuma pesa kwa haraka na usalama mpaka Zimbabwe. Piga *150*01#, alafu 4 nje ya nchi na utume sasa au tumia? Mixx Super App.
ni vigezo gani wewe umekaririshwa kuwa ndio vya kumwita mtu askofu?Walitumia vigezo gani kumpa hicho cheo cha uaskofu
Hawa wahuni huwa wanajipachika tu hiyo title, huu ujanja janja wameutoa kwa waumini wa Kasisi wa Kikatoliki Martin LutherWalitumia vigezo gani kumpa hicho cheo cha uaskofu
Fukunyua ili ujirishishe mkuuDoctorate ameipatia wapi