GE2025 Askofu Gwajima amezungumza na vyombo vya habari ameendelea kupinga utekaji na kusisitiza umuhimu wa Reforms

GE2025 Askofu Gwajima amezungumza na vyombo vya habari ameendelea kupinga utekaji na kusisitiza umuhimu wa Reforms

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Serikali haiwezi kuhangaika na hilo tapeli, ht Lissu km siyo alijipendekeza kwa vyombo vya usalama hakuna ambaye angehangaika naye. Lissu angekuwa anafanya siasa zake kistaarabu nani angehangaika naye? Lile ni lofa hajui siasa, hawezi kushindana na dola tena ashukuru huyu Rais ni mstaarabu mpk kesi inarushwa live? Ingekuwa wanaume km kina Magu kwanza asingenyanyua domo lake lile, pili lingepotezwa na maisha yakaendelea. Mbn alivyokuwa ukimbizini hilo bunge la Ulaya walikuwa kimya? Wanamjaribu Mama yetu!
Huna kumbukumbu labda chuki yako imeuwa akili kabisa. Lissu alimparura Magufuli na akampa za uso na kumpachika jina la dictator uchwara, mpaka akampiga risasi mchana kweupe na kung'oa CCTV camera.

Watu wote walimuogopa Magufuli hata Mbowe alinywea kasoro Lissu na huyo Lemma. Ikumbukwe Lemma Alisema wazi kuwa,, ameota Magufuli kafa, na akasema waziwazi.

Ubelgiji hakuwafuata wazungu, alienda kitandani hoi kwa risasi zenu.

Kama ni jaribio la kumuua Lissu sio moja.
 
Hoja hizi anazotoa kwamba viongozi wa vyombo vya dola wasizongwe na maboss wao wa kisiasa tukija kwenye uchaguzi viongozi wa tume na wenyewe anazungumzia vipi?
 
Back
Top Bottom