MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Gwajima ana incite Jeshi
Alafu unakuta wafuasi wa Gwajima wengi ni makamanda wenzetuHapo hawezi ongelea wakurugenzi na tume nao wawe independent. Double standard ssna hizi
We have to keep up brother...,😂😂Mwendo wa vyombo vya habari
Kwani huyo Halima Mdee kafikaje huko bungeni?Hivi huyu Gwajima ndiye aliiba kura za Halima Mdee?
Tunacheza na wajukuu, au hujui!Sawa babu ila ndio uchokoze wajukuu zako?
angali wazee wenzio wapo
Wote hao waliungana nasisi wakati wa dikteta PMJGwajima, Polepole, Majaliwa Kassim, Mpina na wapenda nchi woote,
Wanacgi wengi wako nyuma yenu
Kwani alikua na jimbo?Kwani huyo Halima Mdee kafikaje huko bungeni?
Hatari sanaAlafu unakuta wafuasi wa Gwajima wengi ni makamanda wenzetu
Matapeli tupuGwajima, Kakulwa, Polepole, Majaliwa Kassim, Mpina na wapenda nchi woote,
Wanacgi wengi wako nyuma yenu
Jimbo aliuzaKwani alikua na jimbo?
Mbona UWT hamumtaki tena?Anatangaza kurudi nyumbani Chadema 😂
Ndiyo kasema hivyo?Rais siyo mzalendo namba moja.