johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Chadema hawana jimbo alinunua Kura za HalimaKwahiyo Gwajima alinunua jimbo la CHADEMA
Chadema hawana jimbo alinunua Kura za HalimaKwahiyo Gwajima alinunua jimbo la CHADEMA
Wakuu,
Kupitia ukurasa wake wa instagram Askofu Gwajima ameandika kuzungumza na vyombo vya habari leo Julai 16, 2025 saa saba mchana
Je leo atatoa povu gani kwa umma?
View attachment 3407750
View attachment 3407762
View attachment 3407764
View attachment 3407858
View: https://www.youtube.com/live/jINnZ9eLnwE?
si=gFkBJUPxNlpuD-gR
Ni muhimu sana wakuu wa vyombo vya dola wawe na uhimara, uimara niliosema ni huu, tuna Jeshi la wananchi TPDF, Jeshi la Polisi Jeshi la Magereza , Uhamiaji na idara ya usalama wa Taifa, nikasema kwamba hawa ndiyo wenye dhamana ya kutulindia taifa letu inatakiwa tuwalinde kwanza wao ili wao waweze kutulindia taifa letu, mambo mengi watu wanayozungumza kuhusu taifa letu wanaongea by product results of the problem, they are not real the problem
View attachment 3407971
Kasema tufanye reforms kabla ya uchaguzi. Moja ya reforms zinazotakiwa ni pamoja na muundo na mamlaka ya tume ya uchaguzi.Hoja hizi anazotoa kwamba viongozi wa vyombo vya dola wasizongwe na maboss wao wa kisiasa tukija kwenye uchaguzi viongozi wa tume na wenyewe anazungumzia vipi?
Daah bongo bahati mbayaMuda sio mrefu litatoka AGIZO
Hakuna press conference bila kibali 😂
Kavizia atakua alisoma comment yangu😁Kasema tufanye reforms kabla ya uchaguzi. Moja ya reforms zinazotakiwa ni pamoja na muundo na mamlaka ya tume ya uchaguzi.
Ndiyo, kasema Wazalendo namba moja ni jwtz maana wapo tayari kutoa uhai wao kwa ajili ya kutetea nchi wakati rais atakuwa mjini.Ndiyo kasema hivyo?
The less you know the betterWatamdaka hawa watu unless atawalamba miguu.
Teh teh teh hebu nicheke mieTunacheza na wajukuu, au hujui!
Sio kwamba anajua kuwa nje ya mfumo mdo unaingia kwenye hatari ya kupotea?😁👀nimependa aliposema hahami, anataka kufanya mashambulizi kutokea ndani. shetani lazima ashindwe maka huu.
Jambo TV tulikua naye mpaka mwisho alipoagaMwamba kumbe ile speech ni recorded from Mafichoni. The Chanzo walikua wanaonesha wakakatisha! Iliyoonesha hadi mwisho ni akaunti yake pale youtube pekee
Huu mchezo hautaki hasira binti yanguTulia kilaza wewe
Lazima atumie akili, ulitaka aende kama nyumbu?Mwamba kumbe ile speech ni recorded from Mafichoni. The Chanzo walikua wanaonesha wakakatisha! Iliyoonesha hadi mwisho ni akaunti yake pale youtube pekee
Una akili fupi sana infact imegandaM
Maisha matamu wewe, yule ana pesa kwanini ateseke korokoroni, mjanja yule siyo lofa km yule mnyaturu.
Mjanja eti mwenye swali aulize.. 😀😀 kama hakuna swali basi ..Mwamba kumbe ile speech ni recorded from Mafichoni. The Chanzo walikua wanaonesha wakakatisha! Iliyoonesha hadi mwisho ni akaunti yake pale youtube pekee