Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,333
- 50,241
Ni upepo tu huu unapita..Tuliyataka wenyewr kwa mihemuko yetu. Hivi kama kichaa Lisu tungemuacha aropoke tu halafu Gwajiboy tungemjibu kwa kumfukuza kwenye nafasi ya IGP na Waziri wa mambo ya ndani tukala kichwa na kuanzisha uchunguzi haya mambo yangekuwepo???????????