Kule Polepole huku Gwajima mtu kati
Doctorate ameipatia wapi ?
Samia kazipatia wapi? πππDoctorate ameipatia wapi ?
EmaSamia kazipatia wapi? πππ
Atakamatwa mpaka mwisho wa uchaguzi kama Lissu. Anataka kuwashika mikono wanaokula, nao hawakubali kutema tonge.Wakuu,
Kupitia ukurasa wake wa instagram Askofu Gwajima ameandika kuzungumza na vyombo vya habari leo Julai 16, 2025 saa saba mchana
Je leo atatoa povu gani kwa umma?
Mambo yako faya sana. Ujue CCM wako muda mbaya sana ukizingatia kuna watu wamekatwa kama Ummy,Mpina na issue ya Polepole. Kusema kweli kila kona moto kweli kweliA
Atakamatwa mpaka mwisho wa uchaguzi kama Lissu. Anataka kuwashika mikono wanaokula, nao hawakubali kutema tonge.