Gwajima aliwaonya sana, it's too late Kwa Sasa, hawezi tumika, alishawaambia wafungie mpaka YESU KRISTO atakaporudiWanamtafuta aje kutuliza Gen Z
Wanasema nguvu yake ni kubwa. Wanaamimi akiongea tena kama alivyoongea mara ya mwisho wananchi wanaweza msikiliza na kutuliza mumkari.
Ndio sababu ya kumfungulia yake tena.
Jasusi usituangushe.
Wanamtafuta aje kutuliza Gen Z
Wanasema nguvu yake ni kubwa. Wanaamimi akiongea tena kama alivyoongea mara ya mwisho wananchi wanaweza msikiliza na kutuliza mumkari.
Ndio sababu ya kumfungulia yake tena.
Jasusi usituangushe.
***** tena asije jaribu huo upuuziAkijaribu huo upuuzi, D9 tunaanza na kanisa lake
Dada nimekutumia ujumbe inboxKwa uzushi hamjambo
Utaliwa kinyeo kwa shoboDada nimekutumia ujumbe inbox
Mwenzio hali sina!
NIjibu inbox...Utaliwa kinyeo kwa shobo
Hata lissu mwenyewe itategemea atazungumza nini Yaani asije akanunuliwa aje ateme shiti atapuuzwa kama mbowe alivyopuuzwaMtu pekee anayeweza kuwashusha Gen Z ni Lissu peke yake. Huku kwingine ni kujipa moyo tu, neno moja la Lissu ni maneno elfu ya jasusi
KabisaaaaHata lissu mwenyewe itategemea atazungumza nini Yaani asije akanunuliwa aje ateme shiti atapuuzwa kama mbowe alivyopuuzwa