Msalimie kijambio aliye jitawaza kijambio chake kuwa kiongozi wa watanganyika.....mkumbushe kuwa rais anapatikana kwa kuchaguliwa na wananchi ...asijidanganye haki aliyo ipata awamu ya kwanza kuwa rais bila ya kuchaguliwa ndiyo anayo kwenye awamu ya pili ....watanganyika awawezi kuongozwa na muhuni na mzanzibar muhuni na muhalifu ...GAIDI LENYE LAANAKwa uzushi hamjambo
😂😂😂Gwajima hasije akajaribu, ajue GenZ hawana uhusiano naye.
Hakuna anayeweza kutuliza Mambo si Lissu au mange hivi ukumbuki wadau walimsusa mange alivyokuwa na ukaribu na Mama Samia au umesahau? Lissu aliwahi kuhamasisisha maandamano ya ukuta na haikufanikiwa in short kwa Sasa hili Jambo lipo kwa wananchi wenyeweMtu pekee anayeweza kuwashusha Gen Z ni Lissu peke yake. Huku kwingine ni kujipa moyo tu, neno moja la Lissu ni maneno elfu ya jasusi
Ni Lissu pekee na Mange tu ndio wenye nguvu ya ushawishi.Mtu wa kuwapoteza Gn z ni LISSU ,Mange,gwajiboy,kongezeka habil
Ogopa sana Genz wa tz mpaka leo hii kiongozi wao hafahamiki Hao kuna Lisu na wengine ni kwa kua kile wanachokifanya kimeendana na wanachokitaka wao ndo maana wanaonekana kama wako pamoja na Genz lakini kama ikitokea mtu yeyote akanunulika si Lisu wala gwajima. Genz hawatakuwa naye tenaHata lissu mwenyewe itategemea atazungumza nini Yaani asije akanunuliwa aje ateme shiti atapuuzwa kama mbowe alivyopuuzwa
Kwa hivi ilivyofika hakuna mtu atakaye stopisha maandamano si Tundu Lissu Wala Mange kimambi. Maandamano yamefanyika bila hata Lissu kutoa neno iweje useme atastopisha? Mange kimambi aliwahi kuwa na ukaribu na Mama mpaka picha tuliona umeona namna alivyokuwa anashambuliwa mpaka akabadili upepo. Umaarufu wa Mange upo kwa kupinga serikali tofauti na hapo Hana jipya na Hilo anajuaMtu wa kuwapoteza Gn z ni LISSU ,Mange,gwajiboy,kongezeka habil
Umeolewa?Kwa uzushi hamjambo
HaswaHakuna anayeweza kutuliza Mambo si Lissu au mange hivi ukumbuki wadau walimsusa mange alivyokuwa na ukaribu na Mama Samia au umesahau? Lissu aliwahi kuhamasisisha maandamano ya ukuta na haikufanikiwa in short kwa Sasa hili Jambo lipo kwa wananchi wenyewe
Unadhani kwenye kwenye dushelele la Abduli anashuka huyo?Dada nimekutumia ujumbe inbox
Mwenzio hali sina!
Rais wa Gen Z ni Habil,
Baby, umenena uhalisia aisee!Gwajima?? Thubutuu yakee, Gen Z Wataanza na kanisa lake.
Wewe umeongea ukweli na uhalisia hakuna mtu yoyote kwa Sasa kwa hawa influencers Kama mange au Lissu watakaoweza kustopisha maandamano.Mange alivyokuwa mwanzoni upande wa Mama angalia jinsi alivyokuwa anashambuliwa mpaka akabadilisha upepo na yeye anajua umaarufu wake upo akiwa against na serikali.Tukija kwa Lissu mpaka maandamano yanatokea hakuna namna yoyote ushawishi wake ulihusika mpaka watu wakaingia road iweje Leo aweze kustopisha maandamano? Vipi kuhusu UKUTA mbona ilifeliHata lissu mwenyewe itategemea atazungumza nini Yaani asije akanunuliwa aje ateme shiti atapuuzwa kama mbowe alivyopuuzwa
Unajua maana ya 'mgombea mwenza'?Msalimie kijambio aliye jitawaza kijambio chake kuwa kiongozi wa watanganyika.....mkumbushe kuwa rais anapatikana kwa kuchaguliwa na wananchi ...asijidanganye haki aliyo ipata awamu ya kwanza kuwa rais bila ya kuchaguliwa ndiyo anayo kwenye awamu ya pili
Tanganyika ilishakufa,aliiua mtakatifu nyerere....watanganyika awawezi kuongozwa na muhuni na mzanzibar muhuni na muhalifu ...GAIDI LENYE LAANA
Bibie Leo una hamu hadi kisimi kinakupwita.Unajua maana ya 'mgombea mwenza'?
Tanganyika ilishakufa,aliiua mtakatifu nyerere