Askofu Gwajima anaandaliwa aje kutuliza Gen Z?

Askofu Gwajima anaandaliwa aje kutuliza Gen Z?

Sahv ukitaka kunuka kwenye nchi hii jitie kuwazungumzia GenZ ilihali hawajakutuma
 
Mtu pekee anayeweza kuwashusha Gen Z ni Lissu peke yake. Huku kwingine ni kujipa moyo tu, neno moja la Lissu ni maneno elfu ya jasusi
Hata huyo Lissu mwenyewe akiongea upuuzi vijana wanamkataa. Kupooza hili vuguvugu ni kushughulikia tu madai ya wananchi, ambayo nina amini CCM hawawezi kukubali kwa mazungumzo ya mezani.

Hii katiba aliyoiasisi Nyerere tayari ishakua outdated, na tutake tusitake ni lazima damu imwagike upande wa raia na watawala ndio tukae mezani kufanya reforms. CCM hawawezi kukubali reforms kwa amani kwa sababu kufanya hivyo maana yake wakubwa watafirisika mali zao na hatma yao ni jela
 
Hakuna anayeweza kutuliza Mambo si Lissu au mange hivi ukumbuki wadau walimsusa mange alivyokuwa na ukaribu na Mama Samia au umesahau? Lissu aliwahi kuhamasisisha maandamano ya ukuta na haikufanikiwa in short kwa Sasa hili Jambo lipo kwa wananchi wenyewe
Kipindi cha ukuta angalia mwenyekiti alikuwa nani na walio wazunguka, jiulize kipndi hiki jamaa ni mwenyekiti ingekuwaje?
 
Mtu peke wa kutuliza Mukali wa Tanzania ni
Tundu Antiphas Mughwai Lissu
Kwa misimamo ya Lissu serikali hapo itagonga mwamba. Maana huyo kukubali tu kukaa kwenye meza ya mazungumzo atakuja na conditions ambazo nina uhakika tabaka tawala watakataa. Nina uhakika moja ya condition atakayokuja nayo ni Samia kujiuzuru
 
Wanamtafuta aje kutuliza Gen Z

Wanasema nguvu yake ni kubwa. Wanaamimi akiongea tena kama alivyoongea mara ya mwisho wananchi wanaweza msikiliza na kutuliza mumkari.

Ndio sababu ya kumfungulia makanisa yake tena.

Jasusi usituangushe.
Jasusi la mbinguni likijichanganya kuingia mkenge huu kwisha habari yake ,watu wamevugwa , na sijui wanaojipachika mavyeo nguvu wanatoa wapi, twende na serikali ya mpito kwanza chini ya Mzee Warioba ,anyoshe nchi kwanza then wanasiasa watakuja badae.

Napendekeza serikali ya mpito isiwe chini ya mwaka mmoja chini ya huyu mzee,

Kwa nini nampendekeza

Moja anaijua nchi
Pili yupo uchungu na Taifa lake na watu wake na ikimbukwe uyu mzee amfanya kazi na Mwalim .bila hili kama taifa hatuchomoki
 
Wanamtafuta aje kutuliza Gen Z

Wanasema nguvu yake ni kubwa. Wanaamimi akiongea tena kama alivyoongea mara ya mwisho wananchi wanaweza msikiliza na kutuliza mumkari.

Ndio sababu ya kumfungulia makanisa yake tena.

Jasusi usituangushe.
Samia na genge lake wasiachwe hivi hivi
 
Ahaaa ahaaaa ingekuwa nchi inaaendeshwa na mitandao basi tungeshaisha hata tarehe 29 kosa letu kuna watu walitusaliti ndani ya vyombo na wameshapatikana sasahivi ni mkono wa chuma tu
Aisee siku babako akila chuma ndo utajua kumbe haina macho
 
Watu hawana habari na huyo mjinga wenu lissu haya maandamano sio ya chadema mjinga wewe hamna mtu atakaekubali kuhatarisha maisha kisa hayo mavyama yenu
Tulizana lissu sio mjinga na wew tukuite nani haya maandamano ni Wanainch sio ya vyama
 
Tulizana lissu sio mjinga na wew tukuite nani haya maandamano ni Wanainch sio ya vyama
We bwege kama unabisha watu hawana habari na huyo mjinga itisheni maandamano ya ki chama tena kiongozi awe lissu uone ka mtaona mtu barabarani jiulize kwanini watu wameruhusu huyo mjinga kukaa huko sero miezi yote sababu wameshamzarau
 
We bwege kama unabisha watu hawana habari na huyo mjinga itisheni maandamano ya ki chama tena kiongozi awe lissu uone ka mtaona mtu barabarani jiulize kwanini watu wameruhusu huyo mjinga kukaa huko sero miezi yote sababu wameshamzaraum
Mama yako ndo bwege Lissu kafanya kitu gani mpka ufikie hatua ya kumkosoa wakati inajulikana kabisa maandamano sio ya chama chochote
 
Wanamtafuta aje kutuliza Gen Z

Wanasema nguvu yake ni kubwa. Wanaamimi akiongea tena kama alivyoongea mara ya mwisho wananchi wanaweza msikiliza na kutuliza mumkari.

Ndio sababu ya kumfungulia makanisa yake tena.

Jasusi usituangushe.
Wanajidanganya
 
Back
Top Bottom