Askofu Gwajima anaandaliwa aje kutuliza Gen Z?

Askofu Gwajima anaandaliwa aje kutuliza Gen Z?

Mtu peke wa kutuliza Mukali wa Tanzania ni
Tundu Antiphas Mughwai Lissu
Hata kwa Tundu Lissu pia hawezi kustopisha maandamano Kama hakuweza kuhusika kwenye kushawishi watu kuingia road kwanini iwezekane kustopisha? Unakumbuka movement ya UKUTA ilivyofeli Lissu si alihamasisha. Kitu ambacho unashindwa kuelewa ni kwamba kwasasa watanzania wanaelewa mkubwa na wajitambua na wako willing kupambana nchi yao hata kilichotokea October 29 ni kwasababu ni ya utayali wa wananchi sio kwasababu wamehamasishwa na ndio maana hata hoja ya dini ilivyojitokeza wananchi wenyewe kwa umoja wao wameuzima sio serikali, vyama vya upinzani au mwanaharakati yoyote.Hata huyo Lissu akikengeuka anapuuzwa Kama mbowe.Wanawanchi kwa Sasa wapo kwa yoyote anayesapoti harakati zao
 
Hakuna anayeweza kutuliza Mambo si Lissu au mange hivi ukumbuki wadau walimsusa mange alivyokuwa na ukaribu na Mama Samia au umesahau? Lissu aliwahi kuhamasisisha maandamano ya ukuta na haikufanikiwa in short kwa Sasa hili Jambo lipo kwa wananchi wenyewe
Maandamano ya Ukuta alihamasisha Mbowe, kisha Lowassa akaleta uoga wa kiccm kwa kusihi watu watulie. Japo kutulia kwao kulichangiwa na kukosa zaidi ujasiri. Lakini tokea wakati ule mbegu ya uthubutu wa kuandamana ilianza kumea.

Hapo katikati Mange akahamasisha tena maandamani enzi za Magufuli, jeshi likapita mtaani sana siku hiyo, lakini hayakufanikiwa sababu ya uoga, lakini ujasiri ukazidi kuongezeka. Uchaguzi wa 2020 Lisu akahamasisha watu kuingia barabarani, watu wakahamasika ila ujasiri ukawa bado. Cdm walipoanza kampeni ya NRNE ndio iliyopandisha hamasa hii. Unaweza ukakataa, lakini kiuhalisia maandamano haya yana zaidi ya 50% ya hamasa ya cdm ya NRNE, na chama kitakachofanikiwa zaidi na hiki kilichotokea ni cdm. Tunza post hii labda waifute cdm, maana ccm wanajua fika cdm ndio atakuwa mnufaika.
 
Wanamtafuta aje kutuliza Gen Z

Wanasema nguvu yake ni kubwa. Wanaamimi akiongea tena kama alivyoongea mara ya mwisho wananchi wanaweza msikiliza na kutuliza mumkari.

Ndio sababu ya kumfungulia yake tena.

Jasusi usituangushe.
The only solution, ni serikali ya mpito tutoke hapa kama taifa , watu tumejeruiwa sana , watakao kugombea watagombea huko mbele Taifa likiwa limetulia , hakuna cha jasusi au baba yake hapa , Taifa hili kwa sasa ni Mungu pekee wa kulisimamisha tena sio mwanadamu yoyote yule , naongea kwa uchungu sana
 
Msimike mazaako,atafurahi kuona alimnya mtoto mwenye mhogo wenye unene usiomithilika
Nakutaka wewe mwenye umbo namba nane, yaani una matiti saa sita, matako ya kadiri, miguu ya bia halafu kiuno kidogo kama Cha nyigu.

Dah!, Una tumbo dogo na nahisi utumbo wako kamwe haupitishi mihogo.

 
Ni Lissu pekee na Mange tu ndio wenye nguvu ya ushawishi.
Hata hao pia hawawezi kustopisha lazima uelewe Kwanza watanzania kwa Sasa sio waoga Tena, wanajitambua na wapo tayari kwa vita so wapo tayari kusapoti yoyote anayekaa upande wao hata hayo maandamano yamefanyika sio kwasababu ya ushawishi wa mange ni kwasababu wananchi wapo tayari kwa vita wamewachoka CCM. Hata Leo mange au Lissu wakikengeuka watapotezewa Kama mbowe
 
Unajua maana ya 'mgombea mwenza'?

Tanganyika ilishakufa,aliiua mtakatifu nyerere
Mgombea mwenza ni makamu wa rais hiyo hakuna shida ...nazungumzia uhuni wa 29 nani kamchagua huyo kahaba
 

Attachments

  • IMG_20251118_141855.jpg
    IMG_20251118_141855.jpg
    95.4 KB · Views: 7
Wanamtafuta aje kutuliza Gen Z

Wanasema nguvu yake ni kubwa. Wanaamimi akiongea tena kama alivyoongea mara ya mwisho wananchi wanaweza msikiliza na kutuliza mumkari.

Ndio sababu ya kumfungulia yake tena.

Jasusi usituangushe.
Ahaaa ahaaaa ingekuwa nchi inaaendeshwa na mitandao basi tungeshaisha hata tarehe 29 kosa letu kuna watu walitusaliti ndani ya vyombo na wameshapatikana sasahivi ni mkono wa chuma tu
 
Mpe spana huyo ***** zake
Kwa mbamizo nitakaompa mchana wa leo nahisi majirani watatia timu kwangu wakidhani kuwa kunawatu wanapiga makofi, kumbe ni sauti ya mbamizo mkali utokanao na mimi kuingiza na kutoa mjusi wangu kwa nguvu na Kasi ya ajabu kwenye nyeti yake.

A sound like clapping will be heard everywhere, and people will gather to see what's happening.
 
Maandamano ya Ukuta alihamasisha Mbowe, kisha Lowassa akaleta uoga wa kiccm kwa kusihi watu watulie. Japo kutulia kwao kulichangiwa na kukosa zaidi ujasiri. Lakini tokea wakati ule mbegu ya uthubutu wa kuandamana ilianza kumea.

Hapo katikati Mange akahamasisha tena maandamani enzi za Magufuli, jeshi likapita mtaani sana siku hiyo, lakini hayakufanikiwa sababu ya uoga, lakini ujasiri ukazidi kuongezeka. Uchaguzi wa 2020 Lisu akahamasisha watu kuingia barabarani, watu wakahamasika ila ujasiri ukawa bado. Cdm walipoanza kampeni ya NRNE ndio iliyopandisha hamasa hii. Unaweza ukakataa, lakini kiuhalisia maandamano haya yana zaidi ya 50% ya hamasa ya cdm ya NRNE, na chama kitakachofanikiwa zaidi na hiki kilichotokea ni cdm. Tunza post hii labda waifute cdm, maana ccm wanajua fika cdm ndio atakuwa mnufaika.
Wewe huwa tunapishana kwasababu unapenda kuingiza uchadema kwani una uwanachama na hiki chama?
 
Back
Top Bottom