Askofu Gwajima anaandaliwa aje kutuliza Gen Z?

Askofu Gwajima anaandaliwa aje kutuliza Gen Z?

Ogopa sana Genz wa tz mpaka leo hii kiongozi wao hafahamiki Hao kuna Lisu na wengine ni kwa kua kile wanachokifanya kimeendana na wanachokitaka wao ndo maana wanaonekana kama wako pamoja na Genz lakini kama ikitokea mtu yeyote akanunulika si Lisu wala gwajima. Genz hawatakuwa naye tena
GenZ hawana dini
Hawana chama
Hawaangalii sura ya mtu wao wanaangalia maslahi mapana ya taifa.
Sema ile migari ya kifahari na ile midolari waliyokuwa wanachezea wale watoto wa Korogwe Mombo Tanga ndio iliibua hasira kwamba kumbe tunataabika Ila mipesa ipo ya kutosha na sasa hawasikilizi mtu yeyote.
Me sikudhani kama kuna mtu angeongelea makombolelo baada ya zile risasi kutembezwa mtaani.... Baada ya kiapo net ikarudi nawaona haoooo wameanza tena. Hapa ndo naamini kweli watu wanamaanisha hawatanii.
 
Hata huyo Lissu mwenyewe akiongea upuuzi vijana wanamkataa. Kupooza hili vuguvugu ni kushughulikia tu madai ya wananchi, ambayo nina amini CCM hawawezi kukubali kwa mazungumzo ya mezani.

Hii katiba aliyoiasisi Nyerere tayari ishakua outdated, na tutake tusitake ni lazima damu imwagike upande wa raia na watawala ndio tukae mezani kufanya reforms. CCM hawawezi kukubali reforms kwa amani kwa sababu kufanya hivyo maana yake wakubwa watafirisika mali zao na hatma yao ni jela
Mkuu damu nyingine tena mbali ya hii ambayo ilishamwagika? 🥲🙆‍♂️
 
Back
Top Bottom