Askofu Gwajima anaandaliwa aje kutuliza Gen Z?

GenZ hawana dini
Hawana chama
Hawaangalii sura ya mtu wao wanaangalia maslahi mapana ya taifa.
Sema ile migari ya kifahari na ile midolari waliyokuwa wanachezea wale watoto wa Korogwe Mombo Tanga ndio iliibua hasira kwamba kumbe tunataabika Ila mipesa ipo ya kutosha na sasa hawasikilizi mtu yeyote.
Me sikudhani kama kuna mtu angeongelea makombolelo baada ya zile risasi kutembezwa mtaani.... Baada ya kiapo net ikarudi nawaona haoooo wameanza tena. Hapa ndo naamini kweli watu wanamaanisha hawatanii.
 
Mkuu damu nyingine tena mbali ya hii ambayo ilishamwagika? 🥲🙆‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…