Askofu Gwajima anajua yeye ni mbunge kupitia CCM, kwanini anashawishi uongozi wa juu Chadema umpe nafasi agombee urais 2025?

Sasa SSH kaingia, Askofu kapoteza network na hata utawala was wasukuma aliotaka kuunda umekwama, zile fursa za kuingia magogoni atakavyo na kupitisha dili zake zimekata, anaona yuko mbali na system,na ameamua kurudi chadema polepole na ana mawasiliano makubwa na viongozi was chadema.

Vikao vya kamati ya wabunge was CCM, maamuzi yake hupelekwa Chadema na huyu askofu,anatoa hela nyingi sana chadema wakubali kumrudisha, na alifadhili mkakati wa maabdamano ya katiba ambao serikali imeudhibiti.
Ukisikia kitu kinachoitwa majungu, sasa ndio haya...
JF, hebu tujitahidi kuwa wakweli toka ndani ya nafsi zetu.

P
 
Dah! hizi chanjo za majaribio zimeleta mtafaruku kweli.........anayejua kama kuna pesa ya fidia kwa wale watakaojitolea kushiriki kwenye majaribio atushtue angalau tukaambulie tununue debe la mahindi, au ndo hii dola 100 wanayolipwa wamarekani aliyosema mdau hapo juu, mwenye ubuyu tafadhali tunaomba atumwagie hapa.
 
Askofu Gwajima miaka kadhaa iliyopita alikuwa ni mwanachadema mzuri sana na alichangia sana harakati zao kwa fedha nyingi. Aliingia CCM kwa kuvutwa na ukabila kwa kuwa alikuwa na nia ya kuifanya Tanzania na CCM chama cha wasukuma kupitia mwendazake.

Sasa SSH kaingia, Askofu kapoteza network na hata utawala was wasukuma aliotaka kuunda umekwama, zile fursa za kuingia magogoni atakavyo na kupitisha dili zake zimekata, anaona yuko mbali na system,na ameamua kurudi chadema polepole na ana mawasiliano makubwa na viongozi was chadema.

Vikao vya kamati ya wabunge was CCM, maamuzi yake hupelekwa Chadema na huyu askofu,anatoa hela nyingi sana chadema wakubali kumrudisha, na alifadhili mkakati wa maabdamano ya katiba ambao serikali imeudhibiti.

Kimkakati na kikabila alitaka chadema ijiimarishe usukumani kwa kuanzishia harakati huko ili akija kuomba urais akute angalau njia nyeupe.

CCM iondoe watu was aina hii katika mifumo yake ya siasa,afukuzwe haraka huyu NDULI GWAJIMA
Upuuzi gani huu. Sijui ulikua na hangover ya mataptap? Mi siamini kama gwajima ana ndoto ya urais.
 
Gwajima sio mzima kichwani nawaambia hili, ILA wanaosali kwake ndio wanatakiwa wapimwe akili zao!
 
Mwon
Askofu Gwajima miaka kadhaa iliyopita alikuwa ni mwanachadema mzuri sana na alichangia sana harakati zao kwa fedha nyingi. Aliingia CCM kwa kuvutwa na ukabila kwa kuwa alikuwa na nia ya kuifanya Tanzania na CCM chama cha wasukuma kupitia mwendazake.

Sasa SSH kaingia, Askofu kapoteza network na hata utawala was wasukuma aliotaka kuunda umekwama, zile fursa za kuingia magogoni atakavyo na kupitisha dili zake zimekata, anaona yuko mbali na system,na ameamua kurudi chadema polepole na ana mawasiliano makubwa na viongozi was chadema.

Vikao vya kamati ya wabunge was CCM, maamuzi yake hupelekwa Chadema na huyu askofu,anatoa hela nyingi sana chadema wakubali kumrudisha, na alifadhili mkakati wa maabdamano ya katiba ambao serikali imeudhibiti.

Kimkakati na kikabila alitaka chadema ijiimarishe usukumani kwa kuanzishia harakati huko ili akija kuomba urais akute angalau njia nyeupe.

CCM iondoe watu was aina hii katika mifumo yake ya siasa,afukuzwe haraka huyu NDULI GWAJIMA
Mwongo mkubwa! Weka ushahidi wako hapa kwa hayo unayosema!! Nyie mnataka wanachama mambumbumbu wasioweza kuhoji!! Gwajima ni mwanachama hai wa CCM a hazina ya Taifa!!
 
Gwajima ameishika CCM na Serikali yake pabaya wamebakia kubweka bweka tu lakini hawana cha kumfanya kwa sababu Gwajima ana 'watu'. Wamguse waone moto wake, Askofu Rashid Gwajima kanyagia hapo hapo hakutishi mtu yeyote nchi hii.
 
Jiandae, hii inakuja huku pia, nyie vibwetere mkitoka nje mtakuwa mnakula rungu za kutosha..
View attachment 1874776
Kapata kitu kidogo huyo toka kwa Biden! Dau liko hadharani! Dola mia kwa kila anayechanjwa marekani! Kwingineko kwa nini tusiamini viongozi wameahidiwa hongo ya dola 100 kwa kila raia mmoja wa nchi yao atakayechanjwa? Ndio maana viongozi wa mataifa mbalimbali wanatumia kila mbinu na vitisho kuwafanya watu wachanjwe, na kitu kidogo wapokee wao!! Halafu wao wanachanjwa feki! Hii dhambi haitawaacha salama!
 
Dah! hizi chanjo za majaribio zimeleta mtafaruku kweli.........anayejua kama kuna pesa ya fidia kwa wale watakaojitolea kushiriki kwenye majaribio atushtue angalau tukaambulie tununue debe la mahindi, au ndo hii dola 100 wanayolipwa wamarekani aliyosema mdau hapo juu, mwenye ubuyu tafadhali tunaomba atumwagie hapa.
Kwa nchi za wenzetu unachanjwa na unapewa dola 100 ukafie mbele!! Hizi nchi zetu za kiafrika unachanjwa wewe aliyekuingiza mkenge kwa kukushawishi anapata dola 100 na wewe unaachwa ukafie mbele!!
 
na alifadhili mkakati wa maabdamano ya katiba ambao serikali imeudhibiti.

Niliposoma hapo tu nikajikuta nawaza sn hakika taifa hili majitu majinga yako ccm na ndo yanarubun watanzania khaaa...
JamiiForums-1797793390.jpg
 
Askofu Gwajima miaka kadhaa iliyopita alikuwa ni mwanachadema mzuri sana na alichangia sana harakati zao kwa fedha nyingi. Aliingia CCM kwa kuvutwa na ukabila kwa kuwa alikuwa na nia ya kuifanya Tanzania na CCM chama cha wasukuma kupitia mwendazake.

Sasa Rais Samia kaingia, Askofu kapoteza network na hata utawala wa wasukuma aliotaka kuunda umekwama, zile fursa za kuingia magogoni atakavyo na kupitisha dili zake zimekata, anaona yuko mbali na system,na ameamua kurudi chadema polepole na ana mawasiliano makubwa na viongozi was chadema.

Vikao vya kamati ya wabunge was CCM, maamuzi yake hupelekwa Chadema na huyu askofu,anatoa hela nyingi sana chadema wakubali kumrudisha, na alifadhili mkakati wa maabdamano ya katiba ambao serikali imeudhibiti.

Kimkakati na kikabila alitaka chadema ijiimarishe usukumani kwa kuanzishia harakati huko ili akija kuomba urais akute angalau njia nyeupe.

CCM iondoe watu was aina hii katika mifumo yake ya siasa,afukuzwe haraka huyu NDULI GWAJIMA

Eti ndio kiongozi wa dini 😂😂 huyu hafai hata kuwa mbunge wa nccr mageuzi
 
Kwa hiyo hapa mnaona mmeshamjibu Gwajima kuhusu mafundisho yake ya Covax? Hivi CCM kuna watu wenye akili kweli humo ndani? Sasa kwa vijikashfa hivi vya kijinga mbona mnazidi kumfanya Gwajima aonekane ni very smart! Shida kubwa mnapeana nafasi kwa kujuana badala ya kuangalia kama mna akili ama lah. Mafundisho ya Gwajima ni ya kijinga na yanaweza kupanguliwa kirahisi sana, lakini shida ni kwamba mnaopewa kazi ya kujibu hoja za Gwajima pia hamna akili vichwani
 
Matope ya mleta mada,unaleta ukabila? hivyi Kuna mgombea yeyote anaweza kuitenga kabisa Kanda ya ziwa na akatoboa? Wewe hujiulizi kwanini Samia tangu aingie madaraka alishaenda Kanda ya ziwa zaidi ya Mara moja,wakati mikoa mingine hajatia mguu?
Usi underestimate Kanda hii.
 
Askofu Gwajima miaka kadhaa iliyopita alikuwa ni mwanachadema mzuri sana na alichangia sana harakati zao kwa fedha nyingi. Aliingia CCM kwa kuvutwa na ukabila kwa kuwa alikuwa na nia ya kuifanya Tanzania na CCM chama cha wasukuma kupitia mwendazake.

Sasa Rais Samia kaingia, Askofu kapoteza network na hata utawala wa wasukuma aliotaka kuunda umekwama, zile fursa za kuingia magogoni atakavyo na kupitisha dili zake zimekata, anaona yuko mbali na system,na ameamua kurudi chadema polepole na ana mawasiliano makubwa na viongozi was chadema.

Vikao vya kamati ya wabunge was CCM, maamuzi yake hupelekwa Chadema na huyu askofu,anatoa hela nyingi sana chadema wakubali kumrudisha, na alifadhili mkakati wa maabdamano ya katiba ambao serikali imeudhibiti.

Kimkakati na kikabila alitaka chadema ijiimarishe usukumani kwa kuanzishia harakati huko ili akija kuomba urais akute angalau njia nyeupe.

CCM iondoe watu was aina hii katika mifumo yake ya siasa,afukuzwe haraka huyu NDULI GWAJIMA
Gwajima kwa asili ni CHADEMA , ila alipoingia JPM alileta ukabila na kufuata watu wote wa kanda ileee na ndio maana GWAJI akajiunga naye lakini Gwaji ni mpinzani, hawezi kukubali kuungana na uovu wa CCM.
 
Kapata kitu kidogo huyo toka kwa Biden! Dau liko hadharani! Dola mia kwa kila anayechanjwa marekani! Kwingineko kwa nini tusiamini viongozi wameahidiwa hongo ya dola 100 kwa kila raia mmoja wa nchi yao atakayechanjwa? Ndio maana viongozi wa mataifa mbalimbali wanatumia kila mbinu na vitisho kuwafanya watu wachanjwe, na kitu kidogo wapokee wao!! Halafu wao wanachanjwa feki! Hii dhambi haitawaacha salama!
Hilo jina lako tu linaonesha wewe ni mtu wa aina gani
 
Askofu Gwajima miaka kadhaa iliyopita alikuwa ni mwanachadema mzuri sana na alichangia sana harakati zao kwa fedha nyingi. Aliingia CCM kwa kuvutwa na ukabila kwa kuwa alikuwa na nia ya kuifanya Tanzania na CCM chama cha wasukuma kupitia mwendazake.

Sasa Rais Samia kaingia, Askofu kapoteza network na hata utawala wa wasukuma aliotaka kuunda umekwama, zile fursa za kuingia magogoni atakavyo na kupitisha dili zake zimekata, anaona yuko mbali na system,na ameamua kurudi chadema polepole na ana mawasiliano makubwa na viongozi was chadema.

Vikao vya kamati ya wabunge was CCM, maamuzi yake hupelekwa Chadema na huyu askofu,anatoa hela nyingi sana chadema wakubali kumrudisha, na alifadhili mkakati wa maabdamano ya katiba ambao serikali imeudhibiti.

Kimkakati na kikabila alitaka chadema ijiimarishe usukumani kwa kuanzishia harakati huko ili akija kuomba urais akute angalau njia nyeupe.

CCM iondoe watu was aina hii katika mifumo yake ya siasa,afukuzwe haraka huyu NDULI GWAJIMA
Nilitaka kuliandika hili, nilikuwa naona uvivu tu, umeniwai mkuu, huo ndio ukweli, Gwajima hafai
 
Back
Top Bottom