Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Ukisikia kitu kinachoitwa majungu, sasa ndio haya...Sasa SSH kaingia, Askofu kapoteza network na hata utawala was wasukuma aliotaka kuunda umekwama, zile fursa za kuingia magogoni atakavyo na kupitisha dili zake zimekata, anaona yuko mbali na system,na ameamua kurudi chadema polepole na ana mawasiliano makubwa na viongozi was chadema.
Vikao vya kamati ya wabunge was CCM, maamuzi yake hupelekwa Chadema na huyu askofu,anatoa hela nyingi sana chadema wakubali kumrudisha, na alifadhili mkakati wa maabdamano ya katiba ambao serikali imeudhibiti.
JF, hebu tujitahidi kuwa wakweli toka ndani ya nafsi zetu.
P