Huyo hana jema kwa watanzania, si unakumbuka alivyo mtukana kadinari Pengo?Huu ni muendelezo wake wa kuchukia uislamu kwann asimfananishe na mbibi wa kikristo,mm ni mkristo AICT,lkn naona gwajiboy ana chuki sn na uislamu
Muambie Gwajima wako aliye mfananisha Mdee na marehemu bi Kidude, mbaguzi mkubwa huyo Gwajima na aliwahi kumtukana kadinali PengoAcha kuchomekea udini kumchafua Gwaji jenga hoja Halima ni muislam?
Safari hii amewachokoza wananchi alidhania watanzania wote ni kondoo wake!sindano toka kwa pornstar
Message nzito, ila umeificha mbali sana mkuu.Maajabu ya CHADEMA mtu ambaye hajakomaa kisiasa walimuweka chimbo NYETI KAMATINI yule mtu wa jalalani wakamsafisha.
Mpaka kijana mwenzetu MNYIKA akakaa kimyaa.
Angarau sasa anapumua.
Ni sawa tu kwani shida iko wapiHalima kakomaa kwa vurugu
Gwajima hana lolote, hawezi kushinda hata kidogo
Askofu Josephat Gwajima amesema kuwa yule Bi. Kidude wa Chadema ni halali yake na kazi ya kumshinda ataifanya law hakika.
Amemueleza Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu kuwa wasiwe na wasiwasi kwani ugoro umeingia puani sasa ni mwendo wa chafya tu.
Ameyasema hayo akitoa neno katika mkutano wa Kampeni wa Makamu wa Rais, katika Uwanja wa Mwembeyanga Temeke.
Kiufupi jiandaeni kisaikolojiaNi sawa tu kwani shida iko wapi
Ni mkomavu kiakili kisiasa na kitaaaluma
Iwe kwa vurugu kwa amani ni mkomavu sio huyo askofu wa kujipachika kuchota mchanga kashindwa
Halima anawayambishaaa mtaelewa tu
Nchi haiwezi kuongozwa na mapepo Laana iliyopo hata sasa ni Mungu tu
Atashinda asubuhi mapema sana!
Askofu Josephat Gwajima amesema kuwa yule Bi. Kidude wa Chadema ni halali yake na kazi ya kumshinda ataifanya law hakika.
Amemueleza Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu kuwa wasiwe na wasiwasi kwani ugoro umeingia puani sasa ni mwendo wa chafya tu.
Ameyasema hayo akitoa neno katika mkutano wa Kampeni wa Makamu wa Rais, katika Uwanja wa Mwembeyanga Temeke.
Hata yeye aliitwa mrembo na bi kidude ndo siasa,Bi kidude ana kosa gani hapo mpaka kufananishwa na ugomvi wa kisiasa daah